Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Msaada: nimeangalia 3 days mpaka episode ya 11 nilikuwa na download kupitia dramafire, lakini kuanzia ya 12 imegoma kabisaaaa.... Nitapata wapi muendelezo kuanzia episode 12 na kuendelea... Nimekuwa addicted sana na hii drama.
 
Tumia Kissasian.

Hiyo drama tamu sana
 
Ila Damushin sunbae hapa umenikumbusha na mimi kuna moja amecheza my baby Seung Heon inaitwa When a man loves jamanii nilikuwa napatwa na hasira hadi leo yule dada simpendiii....anaitwa Shin Se Kyung simpendi kiasi hata sina hamu ya kuangalia drama nyingine aliyocheza. [emoji23] [emoji23] [emoji23] nioneni tu wa ajabu ila ndo hivyo jamani nilikuwa nachukia wakati mwingine naacha kuangalia kwa hasira then baadae narudi kuendelea
 
taarifa kubwa leo hii inayozungumzwa kwenye vyombo vya habari vya nchini korea ni kuvunjika kwa uhusiano wa kimapenzi uliodumu kwa miaka 3 kati ya lee min ho na bae suzy.
JYP entertainment ambayo inamsimamia mwanadada bae suzy kazi zake imethibitisha taarifa za mteja wao kuachana na lee minho na vile vile MYM entertainment inayomsimamia lee min ho imethibitisha taarifa hizo.wawili hao taarifa za kuwa na mahusiano zilianza kufahamika mwezi March 2015.

Lee Min-ho, Suzy confirm breakup
Breaking: Lee Min Ho And Suzy Confirmed To Have Broken Up
 
asante, wacha niisubiri japo kama mbali naona
Duuh Iyo Mbali Twaiona Wote, Wakati Namaliza Kuangalia Episode 2 Nikawa Najaribu Kutafuta Engine Nieendelee Nikajikuta Najicheka Then Nikaanza Ifikiria Jmosi Ilivyo Mbali Lol! Nikawa Najipa Matumaini Uku Nikijifariji Tena Na Jumong Kwa Mara Ya Tatu...
 
Hii Khabari Nzuri Kwa Khantwe, Ila Ni Kweli Wamebreakup Now Au Ni Tangu Muda Ila Sa Ivi Ndo Wameamua Kuweka Wazi..
 
Au Ndo shida ni Ratiba Zao Tena!! Doooohh ila Nikajua Utakuwa Umetabasamu Jiko Waachiwa Mwenyewe Tena..
Ratiba wapi bhana kwani wanaodumu hawana ratiba? Mimi nahisi huyu Min ho ana shida kwa nini hadumu kwenye mahusiano maana wakorea mimi sijawazoea hivi. Ila akiachika Mr Black nitakata hadi keki [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125]
 
Daah! Apa tutakata Wote Mwayaa Tena Tutaenda Nunua Mkeki Mkubwaaaaa Tuule Vizurii.....(Japo Apa Nitakuwa Nimeeingia Kwenye Moto) Hahahahhaha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…