Au nihamie kwa bwana arusi Song Joong Ki nibanane na Hye Kyo[emoji85] [emoji85]Na Kila Akigeuka Anaota Watu Wanamlilia Basi KIchwa Kile Kinazidi...
hahahahaaaaaaaa dongsaeng sikuwezi. nimeangalia hii video mpaka natokwa na machozi kwa kucheka,matokeo yake mzee wangu amepiga simu hospital ya wagonjwa wa akili nashindwa kuelewa inawezekana nataka kuongezwa akili ziwe kama za mugabeNajua hupendi vicheko vyake (Jang Hyuk) ila kwangu bila ya kuwepo hivyo vicheko kwenye dramas zake huwa naingalia hiyo drama ilimradi tu niimalize.
hahahaaaaa hapa nilipo natamani mwanamama jung seong yeon awe ni dada yangu (natania), basi kuna episode moja nakumbuka ilikuwa ya 21, yeom moon alimshikilia mateka jang bogo kwenye kambi ya kijeshi na baadae jung hwa akapata taarifa kama jamaa yake amekamatwa na anataka kuuliwa.nimecheka hatari hapo kwa Jang Bogo sunbae sio kwa mahaba hayo na baba Manse.
Aisee baba mkwe (kwa Daehan[emoji13] ) alikuwa anatia huruma sana kwenye hii drama af ilikuwa na sad ending mimi sikupenda kwa kwelihahahaaaaa hapa nilipo natamani mwanamama jung seong yeon awe ni dada yangu (natania), basi kuna episode moja nakumbuka ilikuwa ya 21, yeom moon alimshikilia mateka jang bogo kwenye kambi ya kijeshi na baadae jung hwa akapata taarifa kama jamaa yake amekamatwa na anataka kuuliwa.
akaamua kutumia udhaifu wa yeom mun si anajua jamaa anampenda na yupo tayari kupoteza kila kitu kwa ajili yake, akamwambia nipo tayari kuwa mke wako lakini tafadhali muachie jang bogo.
yeom mun akamwambia kwa ufupi: ni mara ngapi nimekuomba uwe mke wangu lakini hutaki, unafikiri nitajisikia furaha katika maisha yangu kuwa na wewe haliyakuwa ulinambia sina sehemu kwenye moyo wako.
nilikuwa natamani awachinje wote wawili kwa kujitia kupendana kwao.
episode ya 23 kama sikosei ndio kammaliza mpaka masikini akawa anataka kulia lady jung hwa.
nakumbuka alikuwa anamuaga anakwenda vitani basi jung hwa akamwambia yeom mun nitakusubiri na naamini utarudi na ushindi.
song triplets appa akamjibu : laiti kama ningeliyasikia maneno hayo tulipokuwa mujinju basi ningelijiona ni mwanamme mwenye bahati sana lakini kwenye moyo wako yupo jang bogo tu.
niliwahi kukwambia niliwahi kukuona chunghae ukiwa mdogo sana kiukweli muonekano wako,tabasamu lako vilinifanya nifikirie uzuri wa mama yangu ambaye siikumbuki sura yake, mama yangu alifariki kwenye jahazi wakati huo anapelekwa utumwani na mimi nilikuwa mdogo sana ndipo master yi akaamua kunilea.
niliamini kama nitakuwa na wewe basi majonzi ya kutokulelewa na mama basi yangeliondoka lakini bahati mbaya kwenye moyo wako yapo consul jang bogo tu.
japo mara moja nilikuwa nakuhitaji uwe wangu, kama ningeshindwa kukufanya kuwa na furaha basi nitashindwa kujisamehe mimi mwenyewe, tafadhali naomba uondoke na uwende ukamtafute jang bogo ambaye anakupa furaha.
nashindwa kuelewa alitaka apendwe vipi lady jung hwa, hahahahaaaaaaaaa alinifanya niwe na hasira kila ninapomuona na nikashindwa kuelewa ya kwamba ninachokiangalia hakina ukweli wowote.
Hii couple nilikuwa siipendi kama nini. Bora imevunjika!taarifa kubwa leo hii inayozungumzwa kwenye vyombo vya habari vya nchini korea ni kuvunjika kwa uhusiano wa kimapenzi uliodumu kwa miaka 3 kati ya lee min ho na bae suzy.
JYP entertainment ambayo inamsimamia mwanadada bae suzy kazi zake imethibitisha taarifa za mteja wao kuachana na lee minho na vile vile MYM entertainment inayomsimamia lee min ho imethibitisha taarifa hizo.wawili hao taarifa za kuwa na mahusiano zilianza kufahamika mwezi March 2015.
Lee Min-ho, Suzy confirm breakup
Breaking: Lee Min Ho And Suzy Confirmed To Have Broken Up
Tutumie lipi mkuuHilo neno huwa nalichukia kupita maelezo, Mkuu.
Nahisi kama huwa tunawakosea heshima dada zetu.
Ww hupendi wao wamependa Hahahahahaaaaa. Unaumia wenzako wanafurahia ukiruhusu kitu kikutawale kihisia ni mbaya sana mkuuHii couple nilikuwa siipendi kama nini. Bora imevunjika!
Sijawahi kuwa shabiki wa hii couple na wala sikuwahi kuamini kuwa ingelidumu.
Kama ingelikuwa ni hiyo hapo angalau ningeliweka mgomo wa kuzitazama drama za hyeong (Min-ho).
Mkuu kwa nini aisee mashabiki wengi wa min ho walikuwa hawampendi Suzy jamaniHii couple nilikuwa siipendi kama nini. Bora imevunjika!
Sijawahi kuwa shabiki wa hii couple na wala sikuwahi kuamini kuwa ingelidumu.
Kama ingelikuwa ni hiyo hapo angalau ningeliweka mgomo wa kuzitazama drama za hyeong (Min-ho).
Afadhali useme weweHilo neno huwa nalichukia kupita maelezo, Mkuu.
Nahisi kama huwa tunawakosea heshima dada zetu.
Twende ki-Hangul zaidi. How about Yeo-ja / Seo-nyeo / Noona.Tutumie lipi mkuu
Itapendeza zaidi mkuuTwende ki-Hangul zaidi. How about Yeo-ja / Seo-nyeo / Noona.
Hata ukiita msichana/mrembo/binti/dada/wanamke/queen mara 900 itapendeza. Au wewe unasemaje, Mkuu?
Mkuu,Ww hupendi wao wamependa Hahahahahaaaaa. Unaumia wenzako wanafurahia ukiruhusu kitu kikutawale kihisia ni mbaya sana mkuu
Sijui wenzangu ni zipi sababu zao ila yangu ni hii.Mkuu kwa nini aisee mashabiki wengi wa min ho walikuwa hawampendi Suzy jamani
Sunbae,hahahahaaaaaaaa dongsaeng sikuwezi. nimeangalia hii video mpaka natokwa na machozi kwa kucheka,matokeo yake mzee wangu amepiga simu hospital ya wagonjwa wa akili nashindwa kuelewa inawezekana nataka kuongezwa akili ziwe kama za mugabe
Mkuu Jumong umeitupa kuleSunbae,
To me, ili drama yeyote (ya romance / comedy genre) iweze ku-pass kuwa drama bora kwangu basi inatakiwa kuifikia "Fated to Love You", "Shine or Go Crazy", "The Heirs", na "Descendants of the Sun".
Ikiwa ni ya action basi iwe kwenye level za "City Hunter", "Healer", "3 days", na "K2".
Kwenye historical/saeguk, natumia "Dong Yi", "Six Flying Dragons", na "Tree with Deep Roots" kama kipimo.
Chaa siipendi hii couple siku nikisikia wanadate ntaunfollow wote na movie na Min ho zote nitafutilia mbali (natania[emoji13] )Sijui wenzangu ni zipi sababu zao ila yangu ni hii.