Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Najua hupendi vicheko vyake (Jang Hyuk) ila kwangu bila ya kuwepo hivyo vicheko kwenye dramas zake huwa naingalia hiyo drama ilimradi tu niimalize.
hahahahaaaaaaaa dongsaeng sikuwezi. nimeangalia hii video mpaka natokwa na machozi kwa kucheka,matokeo yake mzee wangu amepiga simu hospital ya wagonjwa wa akili nashindwa kuelewa inawezekana nataka kuongezwa akili ziwe kama za mugabe
 
b49a69df022b1f808bd0613e19fc3f8b.jpg
aminas huyo demu ndo yule wa kwenye While you were sleeping ama?
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
nimecheka hatari hapo kwa Jang Bogo sunbae sio kwa mahaba hayo na baba Manse.
hahahaaaaa hapa nilipo natamani mwanamama jung seong yeon awe ni dada yangu (natania), basi kuna episode moja nakumbuka ilikuwa ya 21, yeom moon alimshikilia mateka jang bogo kwenye kambi ya kijeshi na baadae jung hwa akapata taarifa kama jamaa yake amekamatwa na anataka kuuliwa.
akaamua kutumia udhaifu wa yeom mun si anajua jamaa anampenda na yupo tayari kupoteza kila kitu kwa ajili yake, akamwambia nipo tayari kuwa mke wako lakini tafadhali muachie jang bogo.
01300000291092129492008662116.jpg

yeom mun akamwambia kwa ufupi: ni mara ngapi nimekuomba uwe mke wangu lakini hutaki, unafikiri nitajisikia furaha katika maisha yangu kuwa na wewe haliyakuwa ulinambia sina sehemu kwenye moyo wako.
nilikuwa natamani awachinje wote wawili kwa kujitia kupendana kwao.
episode ya 23 kama sikosei ndio kammaliza mpaka masikini akawa anataka kulia lady jung hwa.
12_143.jpg

nakumbuka alikuwa anamuaga anakwenda vitani basi jung hwa akamwambia yeom mun nitakusubiri na naamini utarudi na ushindi.
song triplets appa akamjibu : laiti kama ningeliyasikia maneno hayo tulipokuwa mujinju basi ningelijiona ni mwanamme mwenye bahati sana lakini kwenye moyo wako yupo jang bogo tu.
niliwahi kukwambia niliwahi kukuona chunghae ukiwa mdogo sana kiukweli muonekano wako,tabasamu lako vilinifanya nifikirie uzuri wa mama yangu ambaye siikumbuki sura yake, mama yangu alifariki kwenye jahazi wakati huo anapelekwa utumwani na mimi nilikuwa mdogo sana ndipo master yi akaamua kunilea.
niliamini kama nitakuwa na wewe basi majonzi ya kutokulelewa na mama basi yangeliondoka lakini bahati mbaya kwenye moyo wako yapo consul jang bogo tu.

japo mara moja nilikuwa nakuhitaji uwe wangu, kama ningeshindwa kukufanya kuwa na furaha basi nitashindwa kujisamehe mimi mwenyewe, tafadhali naomba uondoke na uwende ukamtafute jang bogo ambaye anakupa furaha.

nashindwa kuelewa alitaka apendwe vipi lady jung hwa, hahahahaaaaaaaaa alinifanya niwe na hasira kila ninapomuona na nikashindwa kuelewa ya kwamba ninachokiangalia hakina ukweli wowote.
 
Aisee baba mkwe (kwa Daehan[emoji13] ) alikuwa anatia huruma sana kwenye hii drama af ilikuwa na sad ending mimi sikupenda kwa kweli
 
behind every successful man there is a woman
katika project ambayo song triplets father naamini hawezi kuisahau ni emperor of the sea,
kabla hajapata offer ya kushiriki emperor of the sea alikuwa ni muigizaji wa kawaida nchini korea lakini baada ya kuigiza uhusika wa yeom mun ambaye alikuwa anateswa na mambo mawili makubwa nayo ni mapenzi na ambition alipata umaarufu mkubwa sana kwa mashabiki hususani wasichana.
najiuliza kwa nini wanawake wengi walioangalia emperor of the sea walimpenda yeom mun ambaye alikuwa ni muuaji aliyebobea kuliko jang bogo ambaye alikuwa ni mtu mwema?
wanasema kwenye maisha yako unayoishi basi kuna nafasi tatu
hayo ndio maneno aliyoyazungumza song il koo (guk, gook) baada ya kumaliza sherehe za kufanikiwa kumaliza kwa salama kurekodi drama ya emperor of the sea.
wakati alipopata offer ya emperor of the sea Song il kook alipata kwanza offer ya kuigiza kwenye drama ya ADMIRAL YI SOO SHIN, lakini kutokana na ishu za kisiasa wakati huo mama yake alikuwa anagombania uongozi wa serikali basi kulipelekea mpango wa kushiriki kutokufanikiwa.
nilimchukia sana mama yangu kwa sababu nilikwisha jiandaa vizuri kimazoezi, kuendesha farasi na mapigano lakini kwa sasa naamini sikustahili kuigiza kwenye drama ile, kama ningelishiriki kwenye ile drama naamini nisingelipata nafasi ya kuigiza kwenye jumong (MBC 2006). alisema song il kook.
behind every successful man there is a woman
kuondoka ghafla kwa muigizaji ji sung kwenye drama ya terms of endearment mke wa director aliamua kumshauri mume wake ampe nafasi song il kook wakati ambao director alikuwa anahangaika kutafuta muigizaji mwengine.
mke wa director alivutiwa sana na uwezo wa song il kook kupitia morning drama ya album of life.
kwenye terms of endearment kuanzia episode ya 25 song alicheza uhusika wa mwanamme ambaye alitokezea kumchukia mke wake baada ya kugundua maisha ya zamani ya mke wake,umaarufu wake ulizidi kuongezeka hususan kwa mama wa nyumbani baada ya kuonyesha uwezo mkubwa kwenye drama hiyo na kupelekea kushinda tunzo ya best couple pamoja na mwanadada han ga in.
nilipoangalia terms of endearment ilinifanya nitokwe na machozi ndoo nzima (natania)
behind every successful man there is a woman
tukirudi kwenye emperor of the sea timu nzima ya waongozaji wa drama hiyo walikuwa kwenye mtihani mkubwa wa kutafuta muigizaji wa kucheza nafasi ya yeom mun, muigizaji Han Jae Suk ndiye wa kwanza aliyepewa nafasi ya kuigiza na alikuwa tayari alishamaliza photo shooting ya drama hiyo lakini baadae kukatokezea matatizo kwani muda wake wa kwenda kutumikia jeshi ulikwisha fika.
3274203737_c0b81e34d2.jpg

mwanamama chae sira (madam jami) ambaye alishiriki kwenye drama ya terms of endearment pamoja na song il kook akatumia ushawishi wake kumtafutia nafasi song il kook ili aigize uhusika wa yeom jang.
wakati director kang il soo akielekea nchini china kwa ajili ya film location alimuona song il kook ni muigizaji wa kawaida tu ndipo akataka ushauri kwa mke wake lakini kwa mara nyengine nguvu ya mwanamke ilimbeba tena song il kook.
mke wake alisema; unasemaje ? kwa sasa ndani ya korea kusini amekuwa maarufu sana baada ya kuigiza terms of endearment na ni bora uharakishe kumpa nafasi kabla hujachelewa. hivyo basi ndani ya drama mbili alipata msaada mkubwa kutoka kwa wanawake. hii ni chance of a life time.
wanaume tunapaswa tuwaheshimu wanawake lakini si kila mwanamke anapaswa kuheshimiwa na kusikilizwa (sentensi tata).
 
taarifa kubwa leo hii inayozungumzwa kwenye vyombo vya habari vya nchini korea ni kuvunjika kwa uhusiano wa kimapenzi uliodumu kwa miaka 3 kati ya lee min ho na bae suzy.
JYP entertainment ambayo inamsimamia mwanadada bae suzy kazi zake imethibitisha taarifa za mteja wao kuachana na lee minho na vile vile MYM entertainment inayomsimamia lee min ho imethibitisha taarifa hizo.wawili hao taarifa za kuwa na mahusiano zilianza kufahamika mwezi March 2015.
6e1517cbe9ec271cbace9a06508a1bc1.jpg

Lee Min-ho, Suzy confirm breakup
Breaking: Lee Min Ho And Suzy Confirmed To Have Broken Up
Hii couple nilikuwa siipendi kama nini. Bora imevunjika!
Sijawahi kuwa shabiki wa hii couple na wala sikuwahi kuamini kuwa ingelidumu.

Kama ingelikuwa ni hiyo hapo angalau ningeliweka mgomo wa kuzitazama drama za hyeong (Min-ho).
6e164994-a4b5-4c23-93e7-ece1f5e87c21.jpg
 
Ww hupendi wao wamependa Hahahahahaaaaa. Unaumia wenzako wanafurahia ukiruhusu kitu kikutawale kihisia ni mbaya sana mkuu
 
Mkuu kwa nini aisee mashabiki wengi wa min ho walikuwa hawampendi Suzy jamani
 
Ww hupendi wao wamependa Hahahahahaaaaa. Unaumia wenzako wanafurahia ukiruhusu kitu kikutawale kihisia ni mbaya sana mkuu
Mkuu,
Nipe mbinu na mimi mana mwenzako ni softie ile mbaya!
 
hahahahaaaaaaaa dongsaeng sikuwezi. nimeangalia hii video mpaka natokwa na machozi kwa kucheka,matokeo yake mzee wangu amepiga simu hospital ya wagonjwa wa akili nashindwa kuelewa inawezekana nataka kuongezwa akili ziwe kama za mugabe

Sunbae,

To me, ili drama yeyote (ya romance / comedy genre) iweze ku-pass kuwa drama bora kwangu basi inatakiwa kuifikia "Fated to Love You", "Shine or Go Crazy", "The Heirs", na "Descendants of the Sun".

Ikiwa ni ya action basi iwe kwenye level za "City Hunter", "Healer", "3 days", na "K2".

Kwenye historical/saeguk, natumia "Jumong", "Dong Yi", "Six Flying Dragons", na "Tree with Deep Roots" kama kipimo.
 
Sunbae,

To me, ili drama yeyote (ya romance / comedy genre) iweze ku-pass kuwa drama bora kwangu basi inatakiwa kuifikia "Fated to Love You", "Shine or Go Crazy", "The Heirs", na "Descendants of the Sun".

Ikiwa ni ya action basi iwe kwenye level za "City Hunter", "Healer", "3 days", na "K2".

Kwenye historical/saeguk, natumia "Dong Yi", "Six Flying Dragons", na "Tree with Deep Roots" kama kipimo.
Mkuu Jumong umeitupa kule
 
Sijui wenzangu ni zipi sababu zao ila yangu ni hii.
6e164994-a4b5-4c23-93e7-ece1f5e87c21.jpg
Chaa siipendi hii couple siku nikisikia wanadate ntaunfollow wote na movie na Min ho zote nitafutilia mbali (natania[emoji13] )
 
Back
Top Bottom