Umenifanyia Roho ngumu Sana kuhusu hii drama Damushin Leo nimeamka Nayo Na Nimeshinda Nayo Nacheka Muda Wote kama Chekeleo Wale Wa Jinsia Moja Mashulenikwa kila mpenzi wa korean drama ambaye hajaiangalia because this is my first life drama ajiandae roho yake kuchukuliwa na gream reaper
Wenzetu Wanjua kutengeneza Vitu Yaani Paka katulia kabisaaa Mpaka Unamtamni Naye Sijuh Alikuwa na Script Yake!!!!kwi kwi kwi yaani nimehiari niiweke kiporo black drama kuliko because this is my first life, yule paka tu alikuwa ni burudani tosha kumuangalia. nashindwa kuelewa paka wa huku kwetu uswahilini wana roho mbaya kama binadamu
Cats don't have a neocortex unlike humans. So they don't get bored or depressed even if they have the same food and do the same thing.
se hee amejaa nukuu kichwani mwake, hahahahaaaaaaaaaaa
Aigooooooo!!!!aigooooo
mianhae, nae chingu.
Ndio Mmeniyuda😱😱😱😱😱😱😱😱
😛😀😛 hahhahaahaaa! Mbavu zangu jamani!Yaani Paka katulia kabisaaa Mpaka Unamtamni Naye Sijuh Alikuwa na Script Yake!!!!
Huyo noona aliyecheza kama Na Mo Hyun yumo ndani. Si wa spoti spoti kama Pil Joo anavyomchulia.bado sijaiangalia
Hahahaa kwendraakwa kila mpenzi wa korean drama ambaye hajaiangalia because this is my first life drama ajiandae roho yake kuchukuliwa na gream reaper
nipo serious noona hii drama nakuomba ndio iwe ya mwisho kwako kuiangalia na matumaini yangu hutajutia.ndio drama pekee inayotibu matatizo yote ya binadamu.Hahahaa kwendraa
Sunbae ndio mambo gani hayo?nipo serious noona hii drama nakuomba ndio iwe ya mwisho kwako kuiangalia na matumaini yangu hutajutia.ndio drama pekee inayotibu matatizo yote ya binadamu.
6 Reasons Why “Because This Is My First Life” Is One Of The Best K-Dramas Of The Year
ndio nataka ajaribu na pombe hii ili aone ladha yake kabla hajaacha rasmi kunywa pombe.Sunbae ndio mambo gani hayo?
Si alishakwambia kuwa anataka kuacha ulevi. Hahahaaahha!!
lakini dongsaeng alikwambia ukianza kuiangalia kuna hatari ya kuangalia episode zote kwa siku moja.Umenifanyia Roho ngumu Sana kuhusu hii drama Damushin Leo nimeamka Nayo Na Nimeshinda Nayo Nacheka Muda Wote kama Chekeleo Wale Wa Jinsia Moja Mashuleni
Daah Bonge Moja La drama....Usoiona Itafute tuuh
Nipo Ya 15 ndo NaimaliziaItabidi umpe tahadhari mapema maana mlevi mwenzetu mkuu aminas kaonja glasi moja tu lakini hadi sasa nadhani atakuwa kashamaliza crate yote . Hahahahha!
oooooh daebakNipo Ya 15 ndo Naimalizia
Siku Inaisha Na Hii Kitu Ata Black Na Money Flower Mpaka Muda Huu Sijaziona Etiii...
Na nimepata taarifa wamiliki wa bar kwa mara ya kwanza wameamua kumfukuza mteja kwa kisingizio cha kuwa atawamalizia na viporo vyengine vya pombe vilivyohifadhiwa na walevi waliobobea kama Damushin.Itabidi umpe tahadhari mapema maana mlevi mwenzetu mkuu aminas kaonja glasi moja tu lakini hadi sasa nadhani atakuwa kashamaliza crate yote . Hahahahha!
Ahaàaaa hatarii ahjusiiNa nimepata taarifa wamiliki wa bar kwa mara ya kwanza wameamua kumfukuza mteja kwa kisingizio cha kuwa atawamalizia na viporo vyengine vya pombe vilivyohifadhiwa na walevi waliobobea kama Damushin.
Damushin Nimemaliza Hii drama Ni Daebak!!!!!oooooh daebak
Neo nuna chughahae
Hongera kwako kwa kumaliza kreti nzima.