Because This Is My First Life
EMPTY dongsaeng hii drama ilikuwa ni burudani mwanzo hadi mwisho yaani ilifika wakati natamani episode ziongezeke kutoka 16 hadi 100.
couple zote zilikuwa full burudani lakini kwangu mimi Ma sang goo na soo ji walikuwa na kitu chengine cha ziada ukilinganisha na couple nyengine.hahahaaaa ma sang goo anastahili offer nyingi zaidi za kuigiza.
ila na wewe ho ra ng kila wakati unawaza ndoa kuolewa tu maisha yenyewe ndio haya ya mzee wa chato.
wenzetu hawabanii watu wenye vipaji kama unaweza basi offer zitakuja wenyewe, kim min gyu amepata offer ya kuigiza kwenye drama ya Just Between Lovers, bwana mdogo tayari ameshakuwa maarufu nchini korea na muda si mrefu naamini atakuwa muigizaji mkuu wa drama.
huyu ahjumma kim sun young ni shidaaa yaani nafasi yoyote utakayomueka yeye anafanya vizuri,kiukweli uwezo wake wa kuigiza ni mkubwa sana ukilinganisha na waigizaji wengine.
wakorea waachwe kama walivyo na wasifananishwe na wapuuzi wengine kwenye kuandika stori za kuvutia.
full stop.