Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

6_(7).jpg

Ha Ram Unakera Yaani Hii Episode Umeeudhi Sana Ichi Kifo Umejitakia Unamfanya Bae Analia Tuuh...Umekuwa Mbishi Kama Huyu Mtu mjr95 Yaani Amekuwa Mtu Wa Kukumbusha Ukae Mbali Na Aya Mambo Lakini Uelewi Lol! Nimeumia Kweli Black Alivyokuwa Analia Daah! Hii Drama Nipe Break Basi Nakuwa Kama EMPTY
Aigooooo my dear leo ndio nimetizama namba 12 black na nilikuhaidi nikiitizamaa Nitakujibu hili jambo lako. Unadai nimekuwa mbishi kama Ha Ram Hahahahahaaaaa nacheka tu ila sikujibu.
 
Nawe Unavipolo Lol!!! Empress ki Ujamaliza Tuuh Mpaka Leo!?
Mi Nairudia Jumong kwa Mara Ya Tatu Lakini Kama ndo Naanza Iangalia..

Ivi Unaweza Amini Kuwa Nothing To lose Niliishusha Episode 1 jana Nilitaka Itest Nione Ikoje Nikajikuta Sijamaliza Episode ya Kwanza Uku Nashusha Ya Pili Sijamaliza Ya pili nashusha ya Tatu Sijamaliza Nikashusha ya 4 Sijamaliza Nikataka Shusha Ya Tano Nikakumbuka Kuwa Nisubilie Mpaka Jumatano Lol!!!!
Siku Jana Ilikuwa Ovyo Ila Nikajikuta Inaisha Nikitabasamu Kutoka Usoni Mpaka Moyoni Thanks KDRAMA..

Ila Ni Bonge la Drama,Bonge la Drama Nimecheka Sana Yaani...Yule Aduhi Wa Suspicious Partner Jina Lake Limepotea Amecheza Umu ndani Na Mambo Yake Yale Yale Bila Kusahau Mzazi Mlezi Wa Chang Wook Kwenye SP Na Bby Wangu Mwengine Mtarajiwa Woo Jin Naye Umu Yuko Kiromantic Kama Kawaida Yake.Ni Good Drama Kama Lakini Unapenda Ishu Za Mahakamni Na Sheria...
Ulivyo sema tu ni ingizo jipya bila kupoteza mda nisha shusha zote nne Ila bado sijatizima hata moja samahani lakini.
 
usije ukamuiba ahjussi wa watu, mwanamama mwenye PHD ya sheria mrs jung seong yeon lazima akuweke jela na kwa kuwa ni song il kook nipo tayari kuwa shahidi.
Yaani episode 81 umezirejea tena kwa mara ya tatu. ugonjwa huo mpaka leo kwangu mimi haujapoa mpaka kesho nitaendelea kuangalia video za song triplets.
nyimbo za song minguk hazinichoshi hata kama mfukoni sina pesa nikiangalia video za malaika wa mji wa song do najihisi tajiri.
 
duh hatari sana laiti kama mungelikuwa munafanya hivi kwenye bongo movies basi sanaa yetu ingekuwa mbali sana.
tafadhalini naomba niwaekee kinywaji.
22-You-Who-Came-From-The-Stars-Kim-Soo-Hyun-Do-Min-Joon-Fashion.jpg
 
Ila Ni Bonge la Drama,Bonge la Drama Nimecheka Sana Yaani...Yule Aduhi Wa Suspicious Partner Jina Lake Limepotea Amecheza Umu ndani Na Mambo Yake Yale Yale Bila Kusahau Mzazi Mlezi Wa Chang Wook Kwenye SP Na Bby Wangu Mwengine Mtarajiwa Woo Jin Naye Umu Yuko Kiromantic Kama Kawaida Yake.Ni Good Drama Kama Lakini Unapenda Ishu Za Mahakamni Na Sheria...
bahati mbaya sana suspicious partner sijawahi kuiangalia hadi leo hiii na nashindwa kuelewa kwa nini kwenye akili yangu haimo.
 
usije ukamuiba ahjussi wa watu, mwanamama mwenye PHD ya sheria mrs jung seong yeon lazima akuweke jela na kwa kuwa ni song il kook nipo tayari kuwa shahidi.
Yaani episode 81 umezirejea tena kwa mara ya tatu. ugonjwa huo mpaka leo kwangu mimi haujapoa mpaka kesho nitaendelea kuangalia video za song triplets.
nyimbo za song minguk hazinichoshi hata kama mfukoni sina pesa nikiangalia video za malaika wa mji wa song do najihisi tajiri.
Daahh!!! Uko siwezi fika Ao Walooa Mtihani, Mi Nataka Awa Ambao Bado Bado Ili tusumbuane
 
EMPTY Nakumbuka Kuna Siku Ulishawahi Andika Kuwa Balck Kuna Jina Anamuita Ha Ram Ndo Nimeliskia Kwenye Episode Ya 13 Alivyokuwa Akimtafuta Huku Akimuita Ilo Jina
Hahahahaaa! Mkuu aminas usiwe una-focus sana kwenye subtitles.
Kuna mengi yatakupita.

Mimi huwa na-focus kote kote i.e Audio + Video + subtitles! Hapo ndio unapata ladha yote nzima.

CC: Damushin sunbae,
Chingu(s): Khantwe, mjr95, UHURU JR.
 
Yaah Kweli Kabisaa, Muda Mwengine Sub Huwa Inazingua Sana Tena Asa Sub Ya MyAsian..

Nami Nitaanza Kaza Masikio Kama Ninavyokazaga Mcho.
 
Kwangu hii ni rahisi kwasababu nashusha episodes ambazo hazina subtitles.

Halafu napakua subs zake na kuanza kuangalia hizo episodes huku subs zikiwa nimeziweka katikati ya screen. Natumia smartphone kuziangalia kupitia MX Player.

Hivyo nikiona subs zinazingua nabadilisha naweka nyengine. Kuna za DramaFever, VIU, Viki, etc.

Muda mwengine hutokea naangalia episode moja huko nikiwa nimeweka subtitles mbili tofauti, DramaFever & VIU.
 
jina jengine inaitwa judge vs judge kama sijakosea, basi juzi kuna rafiki yangu alinichukua ofisini kwake anakofanyia kazi, nilipofika si nikakuta internet yenye kasi kilichotokea ilikuwa ni balaaaa.
wao washazoea wakikaa ofisini watembelee facebook, jamiiforums, mpekuzi huru, wasome magazeti na mambo mengine ya kawaida ila kwa akili yangu ya dk shika ndani ya masaa 5 niliokaa nilidownload episode kama 60 za korean drama.
hahaahahaaaa hapa nilipo drama inayokaaa mbele yangu ndio ninayoangalia kwa jinsi zilivyo nyingi.
  • black drama : episode 6 sijaziangalia na ninazo kwenye pc.
  • because this is my first life : episode 11,12,13,14 sijaziangalia na hii ndio drama bora kwa cable tv kwa uoni wangu
  • judge vs judge : episode zote 4 ninazo lakini sijaziangalia na kwa kuwa aminas umenisifia basi ngoja baadae niitupie japo moja.
  • goblin : nimeangalia episode 2 na nimebakisha 14, daebak nimependa mtanange wa goblin na gream reaper. hongera kwake muandishi mwanama kim eun sook.
  • empress ki : kiporo changu cha muda mrefu tokea 2015 nimekirudia tena ila bahati mbaya sijaweza kukihifadhi chote (download), nimeangalia episode ya 31 lakini inanitia uvivu kwa sababu naiona kama imeshapita muda wake.
  • kings dream :kiporo changu cha 2014 na juzi nilibahatika kudownload episode 6 ila sijui nitaziangalia lini.
  • meloholic : nimedownload episode 6 za mwanzo lakini hata moja sijaiangalia.kama ni mbaya mjr95 utapata adhabu kwa sababu wewe ndio ulioisifia humu ndani.
  • joseon gunman : lee joon gi katika ubora wake angalau bado episode 4 sjazidownload.
  • the great king sejong : kiporo changu cha 2014 nimebakisha episode 24 kukimaliza.
  • mad dog : nimedownload mpaka ilipoishia wiki iliopita lakini hadithi yake ya mambo ya bima inanifanya niwe mvivu kuitazama na kuifuta sitaki
  • money flower : jang hyuk katika ubora wake ila na hii sijui nitaiangalia lini kwa sababu episode ya 1,3,4,5 zote ninazo lakini muda wa kuangalia ni mdogo.
  • secret garden :imenibidi niitafute kwa sababu wapenzi wa korean drama wa dunia nzima wanaipenda drama hii, kama dk shika pia naye anaipenda drama hii kwa nini mimi nisiitafute, ila sijui nitaianza lini maana huenda ikaoza kwenye hard drive yangu.
  • legend of the blue sea : kiporo changu cha mwaka 2016 pia nimeamua nikipashe moto aminas noona, Khantwe noona, EMPTY dongsaeng, mjr95 hyungnim naomba munialike maofisini mwenu.
aigooo I got goose bumps

  • black drama : Nipo ep 12.
  • because this is my first life : Nasubiria ep 15 & 16.
  • judge vs judge : Kwa jinsi mkuu aminas alivyoisifia, naenda kuishusha sasa hivi.
  • goblin : Kitambo nishaimaliza.
  • empress ki : Ki-commando nilikomaa nayo hadi mwisho. Ule mchozi ulionitoka hapa, mmmh!
  • kings dream : Aigoo! Mimi na Joseon ni kama pete na kidole. Naenda kuisaka niitazame.
  • meloholic : Nipo ep 6 na sibanduki hadi kieleweke.
  • joseon gunman : Siku nyingi natamani kuitazama ila bado sijafanya hivyo.
  • the great king sejong : Nikimaliza kuitazama "Dae Jang Geum" nitashusha ep 2 tatu niipime.
  • mad dog : Inatia uvivu vibaya. Nimeishia ep 4.
  • money flower : Kaka mkubwa ananifunza mengi humu. Ingewezekana basi na mimi ningeingia kwenye hiyo drama nimsaidie kufanikisha malengo! (Usishangae!)
  • secret garden : Naiweka kwenye watchlist.
  • legend of the blue sea : I only kept watching it because of Jun Ji-hyun Noona. Hyeong kazingua ile mbaya!

Damushin sunbae-nim,
Itabidi hiyo disk unipe mie 'sabubu naona umejaza viporo tele. Hahahhaaha!
 
Kwangu hii ni rahisi kwasababu nashusha episodes ambazo hazina subtitles.

Halafu napakua subs zake na kuanza kuangalia hizo episodes huku subs zikiwa nimeziweka katikati ya screen. Natumia smartphone kuziangalia kupitia MX Player.

Hivyo nikiona subs zinazingua nabadilisha naweka nyengine. Kuna za DramaFever, VIU, Viki, etc.

Muda mwengine hutokea naangalia episode moja huko nikiwa nimeweka subtitles mbili tofauti, DramaFever & VIU.
Wapi una download sub zake? maana mie huwa nachelewa kuzidownload kwa sababu huwa wanachelewa kuweka subs hadi baada ya masaa kadhaa.
 
  • black drama : Nipo ep 12.
  • because this is my first life : Nasubiria ep 15 & 16.
  • judge vs judge : Kwa jinsi mkuu aminas alivyoisifia, naenda kuishusha sasa hivi.
  • goblin : Kitambo nishaimaliza.
  • empress ki : Ki-commando nilikomaa nayo hadi mwisho. Ule mchozi ulionitoka hapa, mmmh!
  • kings dream : Aigoo! Mimi na Joseon ni kama pete na kidole. Naenda kuisaka niitazame.
  • meloholic : Nipo ep 6 na sibanduki hadi kieleweke.
  • joseon gunman : Siku nyingi natamani kuitazama ila bado sijafanya hivyo.
  • the great king sejong : Nikimaliza kuitazama "Dae Jang Geum" nitashusha ep 2 tatu niipime.
  • mad dog : Inatia uvivu vibaya. Nimeishia ep 4.
  • money flower : Kaka mkubwa ananifunza mengi humu. Ingewezekana basi na mimi ningeingia kwenye hiyo drama nimsaidie kufanikisha malengo! (Usishangae!)
  • secret garden : Naiweka kwenye watchlist.
  • legend of the blue sea : I only kept watching it because of Jun Ji-hyun Noona. Hyeong kazingua ile mbaya!

Damushin sunbae-nim,
Itabidi hiyo disk unipe mie 'sabubu naona umejaza viporo tele. Hahahhaaha!
Hapo kwenye Meloholic aisee acha tu
 
Back
Top Bottom