Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ntaenjoy nikicheki maana hua napenda unaangalia kitu kinachokufanya utafute ep inaofutana bila kuwqzia mb zinaendaje
Basi itafute Meloholic alafu uje unipe mrejesho nakwambia huto jutia. Tena nenda kaipakue Saizi iko epsd ya 6 sasa na mb zake ni chache Kule kwa kawaida yetu.
 
Basi itafute Meloholic alafu uje unipe mrejesho nakwambia huto jutia. Tena nenda kaipakue Saizi iko epsd ya 6 sasa na mb zake ni chache Kule kwa kawaida yetu.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kizuri kula na mwenzii
 
UNTOUCHABLE: Ingizo jipya. Iko poa sana.

Cc: aminas, Damushin, UHURU JR, EMPTY, Khantwe, Rahabu ......
4d7f23f5ff640e1c22a3d9f59b7d84bf.jpg
64ab6a4bb1c4c4193fa7d55b2770a1d8.jpg
f4ec643631baf84ffe3aac1af64e77f3.jpg
022597d1cec66b2cb21359cdfe09c48e.jpg
05d23a4ac6f720908e7f9c2761255cb0.jpg
Jin Go? Aigoo aigoo mbona mnanifanya nivunje ahadi niliyojiwekea
 
  • black drama : Nipo ep 12.
  • because this is my first life : Nasubiria ep 15 & 16.
  • judge vs judge : Kwa jinsi mkuu aminas alivyoisifia, naenda kuishusha sasa hivi.
  • goblin : Kitambo nishaimaliza.
  • empress ki : Ki-commando nilikomaa nayo hadi mwisho. Ule mchozi ulionitoka hapa, mmmh!
  • kings dream : Aigoo! Mimi na Joseon ni kama pete na kidole. Naenda kuisaka niitazame.
  • meloholic : Nipo ep 6 na sibanduki hadi kieleweke.
  • joseon gunman : Siku nyingi natamani kuitazama ila bado sijafanya hivyo.
  • the great king sejong : Nikimaliza kuitazama "Dae Jang Geum" nitashusha ep 2 tatu niipime.
  • mad dog : Inatia uvivu vibaya. Nimeishia ep 4.
  • money flower : Kaka mkubwa ananifunza mengi humu. Ingewezekana basi na mimi ningeingia kwenye hiyo drama nimsaidie kufanikisha malengo! (Usishangae!)
  • secret garden : Naiweka kwenye watchlist.
  • legend of the blue sea : I only kept watching it because of Jun Ji-hyun Noona. Hyeong kazingua ile mbaya!
Damushin sunbae-nim,
Itabidi hiyo disk unipe mie 'sabubu naona umejaza viporo tele. Hahahhaaha!
Kwenye Money Flower Apo Yule Babu Ndo Nini Kuwatesa Wenziee Ata Kadondoka Kwa Kujitakia Akaja Juu Etii Watoto Wake Awajamsubilie Mpaka Amke Wakati Walin'gatwa Na Mbu Apo Apo...

Ila Akili Ya Hyuk Umu ndani ni Nomaa Lalala! Yaani Nimempenda Bure, Na Amenifunza Kuwa Kutaka Kufika Mahala Unapopahitaji Ianbidi Ujitoe Na Urisk Vingi Sana..Kwa Ela Walizonazo Familia Ya Cheon lakini Anawaendesha Atakavyo Babu Na Jeuri Zake Zote Pamoja Na Rules Zake Pale Kagoma..
 
Kwenye Money Flower Apo Yule Babu Ndo Nini Kuwatesa Wenziee Ata Kadondoka Kwa Kujitakia Akaja Juu Etii Watoto Wake Awajamsubilie Mpaka Amke Wakati Walin'gatwa Na Mbu Apo Apo...
Hahahhahaha! Mzee alijifanya Anold akataka kuigeuza meza juu chini. Alivyoshindwa sasa ndio ikawa kimbembe. Bhahaahhaa!

Alivyokuwa anapiga push-ups huku kambeba Ms. Han ndio kabisaa kaniacha hoi.
 
Hahahhahaha! Mzee alijifanya Anold akataka kuigeuza meza juu chini. Alivyoshindwa sasa ndio ikawa kimbembe. Bhahaahhaa!

Alivyokuwa anapiga push-ups huku kambeba Ms. Han ndio kabisaa kaniacha hoi.
Hahahahhahahahaha Daaah!! Yaani Mzee Mtata Sana Yule Na Ule Utata Ndo Kalisi Pil Joo Sema Tuuh Bado Ajauona..

Money Flower Tamu Sana, Inakoendea Naskia Kuwa Mo Hyun Nae Atakuja Zaa na Boo Cheon Sijuhi Itakuwa Kweli Na Yule Mama Wa Boo Cheon Naye Sijuh Kashajua Kuwa Hyuk Ni Mtoto wa Mume Wake..
 
HAHAHahaa! Naona una maswali mengi zaidi ya majibu.

Mkuu,
Ukitaka huu mchezo ui-enjoy lazima uchague team yako.
Mimi kwa Na Mo Hyun nakuachia wewe maana tangu mwanzo nilishayaona haya na nikakubaliana nayo.

Ukiumiza kichwa sanaa ukawa unamfikiria Pil Joo anawaza nini hasa hata akawakutanisha Boo Cheon & Na Mo Hyun utapata tabu bure.

N.B:
HUU MCHEZO HAUHITAJI HASIRA.
 
Mbona money flower dramabus haipo? Site zingine sio rafiki kwa hiki kimeo changu
 
Kwenye Money Flower Apo Yule Babu Ndo Nini Kuwatesa Wenziee Ata Kadondoka Kwa Kujitakia Akaja Juu Etii Watoto Wake Awajamsubilie Mpaka Amke Wakati Walin'gatwa Na Mbu Apo Apo...

Ila Akili Ya Hyuk Umu ndani ni Nomaa Lalala! Yaani Nimempenda Bure, Na Amenifunza Kuwa Kutaka Kufika Mahala Unapopahitaji Ianbidi Ujitoe Na Urisk Vingi Sana..Kwa Ela Walizonazo Familia Ya Cheon lakini Anawaendesha Atakavyo Babu Na Jeuri Zake Zote Pamoja Na Rules Zake Pale Kagoma..
Tamu sana iyo kitu, nilikuwa nayo tu ila nilikuwa sijaanza itizama sababu ya majukumu. Ila jana nilipata nafasi nikashusha mzigo aisee iko vizuri sana.

Kwa nilipo fikia nimejifunza mengi na bado naendelea nayo, nafikir nitajifunza mengi zaidi. Aisee inabidi nijitoe sana kama jamaa maana bila hivyo si kitu kabisa.
 
Maingizo Matatu Mapya (DRAMA) Kwa Wiki Hii Izi Zitakuwa Zinaonyeshwa Juma3 Na Juma4 Kwa Kila Wiki.Kasoro Iyo Ya 3 Hii Itakuwa Inaonyeshwa Siku za Mwisho za Wiki.

1. TWO COPS
Two_Cops_%28Korean_Drama%29-P2.jpg

Ina Episode 32 kwa 16.

2. DOUBTFUL VICTORY
Doubtful_Victory-P1.jpg

Ina Episode 40 kwa 20.

3. UNTOUCHABLE
Untouchable-p002.jpg
 
Back
Top Bottom