Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!


The Hug You Get After Making People's Heart Flutter..

The Hug You Get After A great Work.

Hongera Nyingi Sana Kwa Hii Team..
 
  1. stori yake ni ya kawaida sana ukilinganisha na drama nyengine nilizoangalia ambapo ndani yake muna couple breaking, wivu, misunderstanding
  2. mazungumzo yao kwa kila muhusika ni ya kuvutia na hayachoshi kuyasikiliza
  3. kila muhusika ana tabia tofauti na mwenzake
  4. ni drama ambayo imejaribu kuonyesha maisha halisi ya kila muhusika ndio maana tumepata kujifunza kwa nini ho rang alipenda sana kuolewa, kwa nini se hee hakutaka kuoa,kwa nini soo ji ni mdada mjanja mjanja.
  5. ost ni za kuvutia na zilikuwa zinaendana na tukio husika ila mimi niliipenda "Marriage" ya MoonMoon,.
  6. hahaaaa nilicheka episode ya mwisho sehee anamuuliza woori kama ni yeye ndie aliyeandaa chai.
 
EMPTY dongsaeng viporo vyako vitaoza kwa kutegemea umeme wa tanzagiza.
  • 2 cops drama : nimefika episode ya 4,jumatatu na jumanne ndio inaendelea lakini siitafuti hadi ijumaa akipenda maulana. aigooo hawa wakorea mara hii wameamua kutuumiza vichwa vyetu yaani mwili mmoja una tabia za watu wawili.
  • black drama :niliiacha tokea episode ya 10 ila naamini kabla mwaka haujaisha akipenda mungu nitaiendeleza tena. folder lake wala silifungui kwa sasa hivi.
  • doubtful victory : nami nimeishia episode ya 4
  • meloholic drama : hahaaaaaaa shikamoo wakorea, kwenye black mwanadada ha ram ana uwezo wa kumuona malaika mkusanya roho, kwenye while you were sleeping watu watatu wana uwezo wa kuona matukio ya baadae kwa kutumia ndoto. meloholic jamaa akimshika mkono mwanamke ana uwezo wa kufahamu kama anadanganya au hadanganyia anapozungumza pia ana uwezo wa kujua matendo yote ulioayafanya. hahaaaa jamaa anafaa kuja tanzania kuwashughulikia wanadada waongo.nimeishia epispode ya 3.
  • money flower : nimeishia episode ya 6.
  • the great king sejong : kiporo changu cha muda mrefu nimeanza kukila na nimefika episode ya 65.
  • kings dream : humu ndani hamuna muda wa kuchekeana tofauti na drama ya queen seondeok, kim yushin, chunchu, bidam,malikia seondeok, yeon gaesomun, gye baek wote wamekutana ni balaaaaa.lakini kiuweli kingdom ya Shilla siipendi. nimefika episode ya 58.
  • secret garden : episode ya 1
  • goblin : hii ni wiki ya tatu nimeganda episode ya 3.
  • bride of the water god: nimeipata jana sijaianza.
  • judge vs judge : episode zote 8 ninazo lakini sijaiangalia hata moja.
 
my friend najaribu kushusha mzigo but hain direct...inaishia kunidirect kwenye picha za uchi bila shaka itakuwa nivairas.nisaidie njia ambayo haitaharm my pc
 
nasubiria msaada my friend
 
Acha kufananisha zile shida za mdadila na Ossoro na hawa watu.

Ngoja nitafute huo mzigo wa giant
 
bahati mbaya sana doctor sijaiangalia mpaka leo, lakini nilimpenda kwenye love story in harvard pamoja na mwanamama kim tae hee (a.k.a gueen of CF) malikia wa dili za matangazo ya biashara.


Love stroy from harvad. Moja kati ya series bora kabisa. Dahhhh
 
Ji Chang Wook Says Hello To Fans With His First Instagram Post Since Joining The Army
 
m
nimeingia kwa hiyo linki ya hapo juu
Okay..
Naomba Uzitafute Izi Site, Dramanice.com, MyaSaiantv.com, Dramafire.com Ukishazipata Ukiingia Kwenye Izo Site Watakuletea List Ya Drama Nyingi Na Utachagua Uitakayo

Kama Apa Hii Ni Moja Ya Izo Site

Click Apo kwenye Blue Then Itakupeleka Moja Kwa Moja Kwenye List Za Drama..

Nyengine Ni Hii Ya Dramanice

Izi Kwa Ninazozifahamu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…