aminas huyu kim rae won uzungumzaji wake wa taratibu unaweza ukaenda kisimani kuchota maji na ukarudi bado hajamaliza kuzungumza.
black knight drama nayo inanifanya nitamani siku za wiki zipungue ziwe angalau 3.hivi hawa bongo movies wanashindwa kuja hata huku zanzibar kwa ajili ya kuomba film location kwenye mahoteli.kama wanaweza kupeana zawadi ya gari za millioni 50 kwa ajili ya birthday wanashindwa kuwekeza kwenye kazi zao zinazowafanya wanunue gari za gharama.
jana nimeota nipo slovenia nakunywa chai na shin se kyung hahahaaaaaa ndio maana huwa sipendi mtu aniulize una ndoto gani kwenye maisha yako, kwa sababu ndoto inakuja na kuondoka lakini malengo hayaondoki.
kabla ya kuangalia black knight nilikuwa naangalia bride of the water god lakini nilipofika episode ya 5 niliamua kuifuta yote kwenye computer yangu, kiukweli haikunivutia kabisa hususan uhusika wa shin se kyung.