Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Black episode ya 15-16 naona uvivu kumalizia,ila sasa naangalia Beyond the clouds na nimeanza kuangalia Untouchable ndiyo kwanza nimeaza kuangalia ep kwanza.
 


Imeanza Vizuri Inataka Kuwa Naulevi Wa Because this is My First Life
Imetulia Na Imelenga Vizuri Na Hii Season Iko Kikubwa Zaidi Nahisi Aitakuwa Ya Kuumiza Kichwa Kama Black Japo Ina Maadhi Kama Ya GOBLIN Ya Kuishi Miaka 250 Auzeeki...

Nimependa Mavazi Yao Yako Na Quality Nzuri Sana Picha Nayo, Story Sasa Ina Story Nzuri Sana Ya Mahusiano Na Hii Holiday Unawenza Eka Na Kuuangalia Na Muhusika Wako Mkajifunza Vitu Vipya Labda....Hahahahhaha
 







Location Waloanza Nayo Ni Slovenia Uko, Watu Wanajua Kutafuta Location Za Kuzipendesha Kazi Zao
 

Namkubari Sana Uyu Kaka Yupo Kwenye list Yangu Ya Maactor Wa Korea Ninaokubari Kazi Zao, Kijana Mwenye Hekima Yake Kwenye Kazi..
KIM RAE-WON
 
Uchizi Mwengine Ni Huu Apa, Nilidhani Aitakuwa Rafiki Kumbe Ni Moja Ya Kurekebisha Mbavu Na Kutoa Vumbi kwenye Mapafu, Naona Sasa Wameamua Kuleta Vitu Vya Kufunga na Kufungua Mwaka.Daebak!!

I'M NOT A ROBOT
 

Wakuu naomba mnipatie ka list cha latest drama ni mdau wa hizi vitu ila si mfatiliaji sana napokuwa free napenda kujumuika nazo hasa zinazotumia akili nyingi,action,na zinazo reflect maisha halisia kama city hunter,criminal mind,innocent deffendant ,three days na nyinginezo naomba mnisaidie latest za mwaka huu au hata jana zenye ladha hiyo sanasana ziwe za mjini
 
Wakuu naomba mnipatie ka list cha latest drama ni mdau wa hizi vitu ila si mfatiliaji sana napokuwa free napenda kujumuika nazo hasa zinazotumia akili nyingi,action,na zinazo reflect maisha halisia kama city hunter,criminal mind,innocent deffendant ,three days na nyinginezo naomba mnisaidie latest za mwaka huu au hata jana zenye ladha hiyo sanasana ziwe za mjini
 
Mkuu,
Anza kwa kupekua posts za nyuma maana tushajadili sana.
Unaweza kuanzia hapo link ya chini.

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako! - Page 73
 
Mianhada (pole),watu sasa hivi wanachanga pesa kwa ajili ya kutumia baadae ila mimi nataka nizihifadhi ili nipate kwenda kuhudhuria harusi ya Lee Min Ho na Bae Suzy siku itakayotangazwa tu nitakwenda japo kwa Bombardier haidhuru igome njiani
Hahhhahhhhahhhhaaaaaaaa!

Sunbae, Damushin
Nilikuwa najikumbusha posts za nyuma nikakutana na hii basi nimechekaje!

Halafu hizo pesa bado unazo au ndio ushakunywa urojo? Hahhahahahaaa!
 

Atamisika Uyu Binaadamu
Hii drama kusema kweli walianza vizuri ila mbeleni sijui hata walikutwa na nani!
Mimi nilidhani kuwa ungekuwa moto wa kuotea mbali ila nilikuwa dissapointed vibaya kwa jinsi story ilivyoendelea.

BTW, bado nina viporo vyangu ep 17 & 18 sijamalizia.

Chingus nyie mnaionaje hii drama?

CC:
Khantwe
aminas
mjr95
UHURU JR
Rahabu
Damushin sunbae.
 

Naomba Imalizie Kuangalia Ndo Uje Utoee Huu Mrejesho..

Hii drama Aikuwa Laini Laini Kwa Kiasi Icho..Ilikuwa Na Matwist Mpaka Dakika Ya Mwisho Na Labda Ni Kitu Ambacho waangaliaji wengi wa Drama Awakukipenda,Ila Ni drama Nzuri Na Ata Mtiririko wake Mwanzo Mpaka Mwisho Ni Mzuri Tuuh Japo Kuna Viutofauti Vya Apa Na Pale Ambavyo Aviwezi Iweka Katika Ubaya wa Hii Kazi..

Zimalizie Kwanza Izo Episode.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…