Mwanadada anatisha kweli!Excellent actress for mid-length dramas (kbs drama)
Jo Yeo Jeong ameibuka mshindi kupitia perfect wife drama.
ni vigumu sana kuigiza uhusika wa mentally unstable,lakini mimi ni mtu wa kawaida sana na natoa shukrani zangu kwa director na wale wote waliokuwa pamoja nami,nategemea nitapata nafasi ya couple role mara nyengine.
Duh Kweli ni wakati Wao Haya Hongera Zao.kbs daesang awards (grand prize)
song joong ki amewatangaza waigizaji wawili wakongwe kim young chul na chun ho jin kuwa ni washindi wa daesang.
kim young chul: nashukuru sana kwa kushinda tunzo hii, father is strange imekuwa ni drama bora sana mwaka huu,nitoe shukurani zangu za dhati kwa mwandishi na timu nzima kwa kazi ngumu tuliofanya kwa pamoja,pia niwashukuru watazamaji kwa kuipenda KBS na drama ya father is strange.
chun ho jin: kiukweli drama yetu haijaisha mpaka muda huu hivyo basi zawadi hii sitaichukua kwa sababu naogopa nitabweteka na kutokujituma tena.tunzo hii iwe ni zawadi kwa wazazi wote duniani kwani mimi binafsi bado ni mtoto kwa wazazi wangu.
ahsante sana mke wangu ila nakuomba radhi kwani imenichukua muda mrefu kushinda tunzo hii.
tafadhalini endeleeni kuiangalia MY GOLDEN LIFE DRAMA.
WAZEEEE MANSEEEEEEEEEEEEEE
Ahsante kwa kutumua muda mwingi kiasi hicho kuhakikisha na sisi hizi sherehe hazitupiti.
Hii Nyimbo now ndo Naisikilza Nikiangalia Date imekuwa released Juzi Wengi Wansema SM wameamu kutoa hii Nyimbo na Video kwa Ajili ya Jonghyun.Machozi yananitoka wakuu. So Goodbye!
Ina ujumbe mzito ndani yake na at the same time inatia huzuni.Hii Nyimbo now ndo Naisikilza Nikiangalia Date imekuwa released Juzi Wengi Wansema SM wameamu kutoa hii Nyimbo na Video kwa Ajili ya Jonghyun.
Mi Naona Waache Aya Yote wasirudishe memory izi kwa Watu tena wakati tunjarbu kusahau,Waache Kila MTU amkumbuke kivyake.!
Wawapa Watu hard time Hasa Team yake.
This is Sad Naona Machozi Yanitoka tena.
Ila Sm Ina Vipaji Sana..Ina ujumbe mzito ndani yake na at the same time inatia huzuni.
Tuombe Mola atuepushie mbali!
Unaupokelea Maeneo Yepi!???Happ New Year 2K18
ZenjiUnaupokelea Maeneo Yepi!???