Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Always.happy happy happy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Always.happy happy happy
Hahhahaaa! Na tulivyokuwa wababe tunaanza kuusherehekea mwanzo kabla ya yeyote!sisi humu ndani hatutaki ujinga, mwaka mpya ushaingia na korean drama forever
jeoldae hatutoacha kufuatilia
Duh! Si Kweli Noma Hahahhaah!!!!!!!Hahhahaaa! Na tulivyokuwa wababe tunaanza kuusherehekea mwanzo kabla ya yeyote!
SBS Wanaendelea na Excellence Awards
Hii drama itakuwa ni moto! Naiweka kwenye kikapu.kbs best ost awards
BTOB's Fight My Way
![]()
hongera lee dong gunLee Dong Gun wa Seven Days Kachukua kwa KBS Excellence Award kwa Male
Hongera kwake! Defendant mwanzo mwisho ilikuwa Debaek!!SBS DAESANG AWARDS (grand prize)
Hongera kwake ji sung kupitia drama ya defendant,ninaiweka kwenye list ya kuitazama
![]()
bado najiuliza kama hichi kinachotokezea kina ukweli wowote?
nimeshinda tunzo hii si kwa sababu nimefanya vizuri bali drama hii imefanya vizuri,
amemshukuru sana uhm ki joon na amesema tunzo hii ni ya uhm ki joon na si ya kwake,
pia amewashukuru mashabiki kwa kumuunga mkono kwa miaka 19
na amemalizia kwa kumshukuru mke wake lee bo young na mtoto wao.
daebak.....
utabiri wangu umetimia