Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Woyooooooo,Woyooooooo SBS best couple goes to Ma girl Suzy na Jong Suk wa While your Were Sleeping Woyooooooo
Dah! Hongera Zao
Naruka ruka APA.
Yaani Awa Watu![]()
daebaaaaaaaaaakkkkkkkkk,
Shin Dong Yeop amesema ya kwamba: baadhi ya couple zimejinadi ya kwamba kwenye film location walikuwa wakipendana kweli, je vipi kuhusiana na suzy na jong suk?
walichojibu ni kwamba nao pia walikuwa wakipendana na mpaka muda huu bado wanapendana kikazi lakini.
Yahitaji moyo kweli kweli!![]()
daebaaaaaaaaaakkkkkkkkk,
Shin Dong Yeop amesema ya kwamba: baadhi ya couple zimejinadi ya kwamba kwenye film location walikuwa wakipendana kweli, je vipi kuhusiana na suzy na jong suk?
walichojibu ni kwamba nao pia walikuwa wakipendana na mpaka muda huu bado wanapendana kikazi lakini.
Usijali! Mungu akipenda iko siku utafika tu. LolHahahha Bae bado Ajachukua,Da!!!!
Na Tayari Sa 5 za usiku Kwao.
Wanacountdown Tuuh.
Wish Was there.lol!!
Aigooooo best Couple Kwa KBS goes to Park Seo Join na Kim ji Woon wa Fight for My Way
Oyooooooo Drama Zangu Leo Zinchukua tuh
Hongera Zao Sana Sana.
ameanza kwa kumshukuru director kwa kufanya kazi kwa haraka zaidi na kuweza kupumzika, pia amesema hajui amshukuru nani kwa sababu anahisi ni heshima kwake kuendelea kufanya kazi kwa miaka 13Ahn Nae Sang Kachukua tena Kwenye Excellence Acting Kwenye Daily na Weekend drama.
HongeraZake.
hii ni tunzo yake ya kwanza kushinda kwenye career yake ya uigizaji hivyo basi naye amemshukuru sana director,ameishukuru familia yake na late father kwani kwenye film location alikuwa akimkumbuka sanaKwa female Kachukua Soo Yeo Eun from Sister is Alive
Hongera Zake
nilikuwa mpweke sana ila namshukuru director na crew nzima ya while you were sleeping kwa kuwa pamoja, mara zote huwa nawaza ni jinsi gani nitaweza kuwa muigizaji bora ila sijawahi kuwaza ni jinsi gani nitakuwa mtoto bora kwa wazazi wangu hivyo basi kwa sasa nitajitahidi sio tu niwe muigizaji bora bali pia niwe binadamu boraLee Sang Yeob Kachukua Excellence acting kwa Wed- Thurs Drama Kutoka While Your where sleeping
Hongera Zake.
Mungu amtangulie! Hongera mingi mingi kwake.nilikuwa mpweke sana ila namshukuru director na crew nzima ya while you were sleeping kwa kuwa pamoja, mara zote huwa nawaza ni jinsi gani nitaweza kuwa muigizaji bora ila sijawahi kuwaza ni jinsi gani nitakuwa mtoto bora kwa wazazi wangu hivyo basi kwa sasa nitajitahidi sio tu niwe muigizaji bora bali pia niwe binadamu bora
![]()
amemshukuru sana ji chang wook kwa kuwa mtu bora sana kwake na pia crew nzima ya suspicious partner.Nam Ji Hyun Kachukua kwa Female Top excellence Kwa Wed- Thur drama
Hongera Zake
Hii ni Kwa SBS
Watu Wanasema kuwa wanadate Hawa Watuamemshukuru sana ji chang wook kwa kuwa mtu bora sana kwake na pia crew nzima ya suspicious partner.
![]()
Mbona kazeeka ghafla?Watu Wanasema kuwa wanadate Hawa Watu