Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!


kupitia drama ya black knight inayoonyeshwa na kituo cha televisheni cha kbs 1 mwanadada shin se kyung amewaacha na mshangao mashabiki na wapenzi wa tamthilia hiyo baada kuigiza nafasi mbili kwenye mwili mmoja. tukio hilo limetokezea baada ya kuigiza nafasi ya sharon ndani ya mwili wa jung haera.
baadhi ya watazamaji walinukuliwa wakisema: kiukweli sikujua nini shin se kyung anafanya kwani nilidhani kuna CGA iliyohusika ilikushabihiana na sharon na kiukweli hata mazungumzo ya haera na sharon yalikuwa ni ya kuvutia.
kiukweli najisikia faraja kuweza kuigiza eneo lile na nitoe shukurani zangu za dhati kwa mashabiki kwa maneno yao ya faraja kwangu mimi na nimatumaini yangu waliburudika, alisema shin se kyung.
kuigiza nafasi mbili ndani ya mwili mmoja ni jambo zuri na la kufurahisha sana, wakati nasoma script binafsi nilishangazwa sana kuigiza nafasi ya sharon ndani ya mwili wangu, na kwangu mimi nimepata uzoefu mpya katika fani yangu ya uigizaji kwani ni jambo ambalo sikuwahi kulifanya hapo mwanzoni.
haera anapozungumza huzungumza kwa haraka sana ila sharon huzungumza kwa utaratibu sana hivyo basi nilikuwa nikiwaza jinsi gani nitaweza kuigiza uhusika wa sharon ndani ya mwili wa hae ra ila nawashukuru sana mashabiki kwa kunipa sapoti kubwa sana.

WAZEE MANSEEE
 
Allah awajalie wadumu katika Mahusiano sahihi na yenye kumpendeza kila mmoja. Yasiwe kama mahusiano ya watu wengine ambao kila siku hawaelewani kwenye Mahusiano yao. Amiin
wazee manseeeeee
 
Huyo mwana dada Shin se kyung yuko vizuri sana, na anakipaji kile kinanifanya nimpende mtu kwa kile anafanya.

Kwenye Six Flying dragons aliniburudisha sana huyu kiumbe, nikikumbuka alivyo kuwa anamtolea nje yule bwana mdogo aisee nakumbuka mbali sana.

wazee manseeeeee
 
Damushin sunbae nipe habari za mtu wangu wa nguvu na muigizaji bora wa Korea kwa mda wote song il gook. Naona kimya sana aisee
wazee manseeeee
 
NU’EST W (뉴이스트 W) – Let Me Out - Hwayugi OST Part 1
kwa msaada wa google university kwa kauli ya dongsaeng

mil-eonaelyeogo
hamyeon hal sulog
tteooleuneun neo

To push it
more we do
You are rising

nun-eul gam-ado
seonmyeonghaejinda

Close your eyes.
Becomes clear

Let Me Out
Why Don’t You Let Me Go
You Wanna Hold Me Down
Go Away Go Away

negeseo meol-eojigo sip-eunde
I want to get away from you.
kkeullideus dagaga
almyeonseodo nan
I'll drag you closer.
Knowing i
Woo Woo Woo Woo Woo

oneuldo wonhae
I want today
Let Me Out


amsiman naleul naebeolyeodwo Uh
jogeumman naege sigan-eul jwo To Me

Leave me alone for a second. Uh
Give me a little time To Me

nun-ap-e geulimja cheoleom
heeonaji moshae
ajig ne sumgyeol-i geuliwo

Like a shadow in front of you
I can not break up.
I still miss your breath.
Let Me Out

tteonal su eobs-eo nan
I can not leave
neol bogo iss-eumyeon
If you see me
No Way No way
You Gotta Let Me Out
Woo Woo Woo


unmyeong-indeus-i
ieojyeo issneun
neowa nae gong-gan

As fortune teller
Continuous
You and my space

beos-eonamyeon deo
bogopajinda
More if you get off
Reporting
Let Me Out
Why Don’t You Let Me Go
You Wanna Hold Me Down
Go Away Go Away

negeseo meol-eojigo sip-eunde
I want to get away from you
negeseo meol-eojigo sip-eunde
kkeullideus dagaga
almyeonseodo nan

I'll drag you closer.
Knowing i

Woo Woo Woo Woo Woo
oneuldo wonhae
I want today
aigoooooo nimechoka kuimalizia mian-hae


kim sang joon manseeeee (mbc daesang awards)
kim young chul manseeee (kbs daesang awards)
cheon ho jin manseeee (kbs daesang awards)
wazeee manseeeeee
























 
cha kufurahisha kwenye six flying dragons aliigiza uhusika wa boon yi na black knight pia ameigiza uhusika wa boon yi kwenye uhusika wa historical.
wazee manseeee
 
cha kufurahisha kwenye six flying dragons aliigiza uhusika wa boon yi na black knight pia ameigiza uhusika wa boon yi kwenye uhusika wa historical.
wazee manseeee
wakorea wanakupa ile kitu roho inapenda, ila huyo dada anajua adi raha yaani. Ule upole wake aisee anavutia kumuangalia.

wazee manseeee
 

nakumbuka mwaka jana (31/12/2017) niliuliza kuhusiana na suala la makeup wanazotumia wanawake wa kitanzania kwamba zipo chini ya kiwango. kwa yeyote anayeangalia drama ya black knight naamini atakuwa anamfahamu mwanamama jang mi hee.
kwa mujibu wa mtandao wa asian wiki amezaliwa januari /27/1958, inamaana mwaka huu kwa mahesabu yangu ya kutumia vijiti na mawe kama mtoto wa chekechea mwaka huu anatamiza miaka 60 ila cha kushangaza huyu mama amebaki na urembo wake kuliko warembo wengi uchwara wa kitanzania ambapo nawazungumzia wema sepetu, wolper na wajinga wengine.
lakini cha kuvutia zaidi hajawashinda kiurembo wa asili Khantwe noona,aminas noona na mpendwa wangu Prishaz. kwa ambaye sijamtaja hapo basi naye akatubu kwa dhambi ya kutumia make up uchwara kwa kauli ya tundu lissu, tena naye akatubu kwa kwenda kuogelea kwenye mkondo wa bahari ya nungwi kwa urefu wa mita 500 kwenda chini hapo ndipo dhambi yake itasamehewa.
inakera sana unamkuta msichana uso manjanooo kama unga wa dengu kumbe ni make up.
wazee manseeee mara hii mumewatoa nishai waigizaji warembo wote wanaopewa promo na vyombo vya habari,kweli uzee mwisho tanzania.
 
Eti wajinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umenikumbusha jana ile nafika kwenye mishe nilikutana na Mdada aisee usoni kajipaka hayo madude, ilinichukua mda kumtambua. Ila kweli wanakera bhana be natural kama mtu flan.
 
Bby Ye Huwa Atupiii Izi!?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…