DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
kupitia drama ya black knight inayoonyeshwa na kituo cha televisheni cha kbs 1 mwanadada shin se kyung amewaacha na mshangao mashabiki na wapenzi wa tamthilia hiyo baada kuigiza nafasi mbili kwenye mwili mmoja. tukio hilo limetokezea baada ya kuigiza nafasi ya sharon ndani ya mwili wa jung haera.
baadhi ya watazamaji walinukuliwa wakisema: kiukweli sikujua nini shin se kyung anafanya kwani nilidhani kuna CGA iliyohusika ilikushabihiana na sharon na kiukweli hata mazungumzo ya haera na sharon yalikuwa ni ya kuvutia.
kiukweli najisikia faraja kuweza kuigiza eneo lile na nitoe shukurani zangu za dhati kwa mashabiki kwa maneno yao ya faraja kwangu mimi na nimatumaini yangu waliburudika, alisema shin se kyung.
kuigiza nafasi mbili ndani ya mwili mmoja ni jambo zuri na la kufurahisha sana, wakati nasoma script binafsi nilishangazwa sana kuigiza nafasi ya sharon ndani ya mwili wangu, na kwangu mimi nimepata uzoefu mpya katika fani yangu ya uigizaji kwani ni jambo ambalo sikuwahi kulifanya hapo mwanzoni.
haera anapozungumza huzungumza kwa haraka sana ila sharon huzungumza kwa utaratibu sana hivyo basi nilikuwa nikiwaza jinsi gani nitaweza kuigiza uhusika wa sharon ndani ya mwili wa hae ra ila nawashukuru sana mashabiki kwa kunipa sapoti kubwa sana.
WAZEE MANSEEE