wajirundikia mzigo ambao utakuwa mzito kwako kwa mbeleni.Kwa nini
Miss u too dear. Niliahidi kuhama huu mtaa sijui nimefikaje[emoji4]Annyeong.
Jaljinaesseoyo!?
Za kupotea Sweet!?
Yah Naangaliaga Online Kupitia Soompi.Uku Wakiweka Sub Zao..
Aigooo sio lazima niangalie kila drama as if kuna mahali nitaenda kuzifanyia mtihani nitaanga zile zilizo ndani ya uwezo wangu zilizonipita nasamehewajirundikia mzigo ambao utakuwa mzito kwako kwa mbeleni.
Omo Omo!Miss u too dear. Niliahidi kuhama huu mtaa sijui nimefikaje[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23] naona unaandaa mazingira ya kutukimbia kabisaAigooo sio lazima niangalie kila drama as if kuna mahali nitaenda kuzifanyia mtihani nitaanga zile zilizo ndani ya uwezo wangu zilizonipita nasamehe
Jamanii I miss you too sema maisha tu ndo yananikaba mwenzio (as if kuna lolote la maana ninalofanya [emoji13] [emoji13] )Omo Omo!
Hapa Ni JIB
Utahamaje!??
Uwege Unapita Pita
Ur Oppa And Unnie Wako APA
Hupaswi kutukimbia
Si Vyema.
Tumemisi Kampani Yako Etiii!
Aah wapi hapa ndo nyumbani naondoka niende wapi[emoji23][emoji23][emoji23] naona unaandaa mazingira ya kutukimbia kabisa
Alaaa kumbe..na kwako pia dia
It's gud Kujipa Muda wa kupumzika.Jamanii I miss you too sema maisha tu ndo yananikaba mwenzio (as if kuna lolote la maana ninalofanya [emoji13] [emoji13] )
KamsaHmnidaAlaaa kumbe..na kwako pia dia
MyAsian.comWatumia suluhisho gani baada ya Dramafire kuzingua?
Usiondoke jamaniAah wapi hapa ndo nyumbani naondoka niende wapi
Siondoki nimepumzika tuUsiondoke jamani