Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Cha Seung Won huyu mtu namuelewa kupita maelezo kwenye A Korean Odyssey katulia sana na kile anafanya. Big up to him.
85fea417338bbcbbd710b9a322c0fc60.jpg
 
Damushin hahaha noona atakuchapa unajua, nimecheka sana make up inafanya watu wanakuwa njano kama unga wa dengu....Haya jiandae kupokea bulgogi yako ya mwaka mpya. Happy new year
 
Back
Top Bottom