Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

SOUND OF WINTER BY PARK HYO SHIN Inaweza kuifanya Asubuhi yako Ieende Poa..
 
Damushin hahaha noona atakuchapa unajua, nimecheka sana make up inafanya watu wanakuwa njano kama unga wa dengu....Haya jiandae kupokea bulgogi yako ya mwaka mpya. Happy new year
hahahahaaaaaa naisubiria zawadi yangu ya bulgogi, tafadhali niletee na soju nimechoka kunywa juisi ya ndimu
happy new year noona.
 
SOUND OF WINTER BY PARK HYO SHIN Inaweza kuifanya Asubuhi yako Ieende Poa..
ahsante sana, ahsante sana na ubarikiwe noona kwa taarifa nilikuwa sina habari kama legend park hyo shin ameimba wimbo mpya baada ya album yake ya the dreamer.
park hyo shin ni miongoni mwa waimbaji wanaoendelea kunifanya nisisikilize wala kufuatilia muziki wa kimagharibi kwa mwaka wa nne. nimeusikiliza huu wimbo amepita mule mule mwa kila siku. kwa waimbaji wa ballad hyo shin ndio muimbaji wangu bora wa kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…