Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ni dramafire.com Ama!???
 
Jana nimejaribu imegoma kufunguka. Je naipatia wapi play store au? Niliyodownload jana nimeitolea google
Samahani mkuu sikuwa online hivyo sikuweza kujibu swali hili. Shukrani pia kwa mkuu alie kujibu hapo chini, Karibu.
 
Wakuu nilikuwa nafuatilia mwendelezo wa drama ya dong yi kupitia dramafire.com lakini ghafla site ikawa haipatikani. Naweza kupata site nyingine nikaweza kuishusha niendelee nayo.... Maana nimejaribu kissdrama, dramafever, dramago zote chenga...cc aminas na members wote wa jukwaa hili.
 
Jaribu Dramanice.com.
Au EMPTY Njoo Uumpe Site Zengine.
Au yeyote Aloiona Iyo Drama kwa Site IPI Tunaomba Aje Atupe Msaada.
 
Mkuu,
Unaweza kuelezea kiundani tatizo liko wapi kwenye hizo sites ulizozitaja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…