Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Yah! Nikwel haifunguki ukitumia server ya mwanzo. Lakin si kwamba haipo, ipo sema imekuja kivingine na imeboreshwa zaid. Mm naitumia toka Juzi mpaka leo naona haizingui tena iko poa sana. DramaFire
Tunasubiri mkuu.. Nimepata sana shida vtu vingi nilikuwa niko njiani. Japo pia mkuu Empty kanitupia kitu kingine nacho kinafanya vzuri sana.
 
Kama bado basi tugawane hichi kidogo kwa faida. Kama weng wanavyo dai Dramafire imezingua tena sana tu kwa siku za hapa nyuma. Katika pita pita yangu nilikutana nayo ikiwa tofauti sasa sijajua ndio wamerudi ama vp maana naona ndio wenyewe.
 
Make sure una Ile application ya UC Browser Fast download mm naona ndio iko poa katika ishu ya kudownload. Then search neno Dramafire pekee katika google.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…