Komawo,ninavutiwa zaidi na taeyeon, kiupande mwengine lee hi nimemsikiliza naye yupo vizuri sana na bado ni mdogo sana kiumri na kimuziki ukilinganisha na taeyeon na hapa nilipo naangalia nyimbo zake kwa ajili yako (usininukuu vibaya). thanks noona kwa kuniongezea list ya kpop singer.baadhi ya nyimbo zake nilizozisikiliza mpaka naandika comment hii muda huu
hold my hand,
rose
my love
star
fool
breath
its over
dream
ameniomba niushike mkono wake hivyo basi kwa uswahili wangu nimemkumbatia, sijui atachukua maamuzi gani ila hata kama atanipa adhabu ya kufagia chumba chake sitakataa.
aigoooooo lee hi sauti yake imenifanya nisamehe chakula muda huu, sitaki ujinga nitakula saa nne za usiku.
thanks tena noona naomba unitafutie muimbaji mwengine wa kpop.
Aigooooo!aigoooooo nimeanza kukuogopa kwa lugha hii ya mfalme sejong the great.
au huko kwenu munalima ginseng(bangi ya joseon).
Kuna EMPTY Ambae Anaangaliaga Na Sub Zake Mi Mpaka Leo Alichonielekeza Sijamuelewe.jamani wenzetu wanajua kutafuta location kwa ajili ya kazi zao lakini sisi tunaongozwa na ujinga mwingi na upumbavu kidogo, matokeo yake stori zetu mbovu, mtu mmoja anafanya kazi nne kwa wakati mmoja kisa anataka awe maarufu yeye tu hata kama uwezo wake ni mdogo ilimradi shaghala baghala.
money flower drama film location (mooshimwon)
location : Gyeongwonjae Ambassador Incheon Hanok Hotel
huu mji ni wa song do anapoishi song il kook
nasubiria episode za leo ziweke subtitle nipate kumuangalia mzee wa mipango kang pil joo.
Poa poa mkuu. Ngoja nitumie site niliyopewa na Empty.Mkuu hizo Drama za zamani naona kwenye hiyo channel wamezitoa. Ata mm nimepata shida sana kwenye Drama moja hiv. Jaribu kupitia website ya Dramanice.Com
Huwaga Napafananisha na Shila Au ndo Shila Penyewe,Shila Hoteljamani wenzetu wanajua kutafuta location kwa ajili ya kazi zao lakini sisi tunaongozwa na ujinga mwingi na upumbavu kidogo, matokeo yake stori zetu mbovu, mtu mmoja anafanya kazi nne kwa wakati mmoja kisa anataka awe maarufu yeye tu hata kama uwezo wake ni mdogo ilimradi shaghala baghala.
money flower drama film location (mooshimwon)
location : Gyeongwonjae Ambassador Incheon Hanok Hotel
huu mji ni wa song do anapoishi song il kook
nasubiria episode za leo ziweke subtitle nipate kumuangalia mzee wa mipango kang pil joo.
shilla hotel ipo mji wa seoulHuwaga Napafananisha na Shila Au ndo Shila Penyewe,Shila Hotel
Walipofunga ndoa Mastar Wa DOTS
Anhaaa!!! So Pamefanana..shilla hotel ipo mji wa seoul
Waloangalia Money Flower Episode 15 Huu Mstari Wataniambia Nani Kautamka
"If You do,Do Some More"
Na huu Pia
"The More I get to know you,the more I like you"
" I can never Get Away from You!"
Aigooooo Pil Joo ni Bae Jamani!
Aigooooo!!"If You do,Do Some More" - Chairman Jang akimwambia President. Jang Seong Man
"The More I get to know you,the more I like you" - Boo Cheon --> Pil Joo
" I can never Get Away from You! - Boo Cheon --> Pil Joo
Nilicheka Pale anawmambia Secrt Wake kuwa usimwambia Pil Joo kuhusu Hili then baadae Pil Joo anamuita kuongelea Hilo Hilo"If You do,Do Some More" - Chairman Jang akimwambia President. Jang Seong Man
"The More I get to know you,the more I like you" - Boo Cheon --> Pil Joo
" I can never Get Away from You! - Boo Cheon --> Pil Joo
Mkuu,Nilicheka Pale anawmambia Secrt Wake kuwa usimwambia Pil Joo kuhusu Hili then baadae Pil Joo anamuita kuongelea Hilo Hilo
Mi nahisi pia Pil Joo anajua kuwa Boo Cheon kashajua Ye Nani.
Pil Joo anashindwaga kuyajua ya Moo Hyun Tuuh Huwa Anam Surprise Sana.
Bado Awajamuonyesha Ni Nani hasa kwa Pil Joo Lakini Inaweza Akawa Best Wake Wa Damu ya Faida.Mkuu,
Hivi yule Yong Goo (mfuta articles! hihiHi) ndio nani yake Pil Joo?
Nimeanza kumuona kitambo lakini hadi sasa I have no idea.
Hihihii! Endelea kusubiria 'sababu posts za nyuma nilikupa quinine lakini ukaamua kuitema badala ya kumeza.Ivi Awa Watu wa Sub Wana Nia Gani Na Hwayugi!!! Mbona Wanatutende ivi Lol!!! Siku nzima Nasubilia iwe Sub Wapi!!!
Acha Tuuh cha Moto nkipata una Hamu na Kitu then kinkuwa ivi lololo!Hihihii! Endelea kusubiria 'sababu posts za nyuma nilikupa quinine lakini ukaamua kuitema badala ya kumeza.
Kama kawaida yangu....! Hihihihii.