Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mkuu EMPTY kuna audio moja naisikia kwenye Drama ya A Korean Odyssey (Hwayugi). Huo wimbo siujui ila kuna baadhi ya maneno nimeyashika yanasema "when I saw you, always behind of you". Hiyo audio nimeipenda kama utakuwa nayo fanya kuiweka hapa ili tuipakue.
 
ninavutiwa zaidi na taeyeon, kiupande mwengine lee hi nimemsikiliza naye yupo vizuri sana na bado ni mdogo sana kiumri na kimuziki ukilinganisha na taeyeon na hapa nilipo naangalia nyimbo zake kwa ajili yako (usininukuu vibaya). thanks noona kwa kuniongezea list ya kpop singer.baadhi ya nyimbo zake nilizozisikiliza mpaka naandika comment hii muda huu
hold my hand,
rose
my love
star
fool
breath
its over
dream

ameniomba niushike mkono wake hivyo basi kwa uswahili wangu nimemkumbatia, sijui atachukua maamuzi gani ila hata kama atanipa adhabu ya kufagia chumba chake sitakataa.
aigoooooo lee hi sauti yake imenifanya nisamehe chakula muda huu, sitaki ujinga nitakula saa nne za usiku.
thanks tena noona naomba unitafutie muimbaji mwengine wa kpop.
taeyeon-23.jpg

lee-hi.jpg
Komawo,
And Bogoshipo Oppa.
 
jamani wenzetu wanajua kutafuta location kwa ajili ya kazi zao lakini sisi tunaongozwa na ujinga mwingi na upumbavu kidogo, matokeo yake stori zetu mbovu, mtu mmoja anafanya kazi nne kwa wakati mmoja kisa anataka awe maarufu yeye tu hata kama uwezo wake ni mdogo ilimradi shaghala baghala.
money flower drama film location (mooshimwon)
location : Gyeongwonjae Ambassador Incheon Hanok Hotel
huu mji ni wa song do anapoishi song il kook
20180105000381_0.jpg

20180105000384_0.jpg

nasubiria episode za leo ziweke subtitle nipate kumuangalia mzee wa mipango kang pil joo.
 
aigoooooo nimeanza kukuogopa kwa lugha hii ya mfalme sejong the great.
au huko kwenu munalima ginseng(bangi ya joseon).
Aigooooo!
Kamsahminda.
Umeipanda hii Mbegu Acha Iote Tuuh.

Kuna Mtu Mahala Huwaga Ananisikiaga Nikitamkaga Aya Maneno Huwa Ananiambia Nikitaka kwenda Korea Nimwambia Anipe Nauli
Then Anaachia Kicheko.
Mdogo Mdogo Mabae Wananiumiza.

Huku Park Hyo Shin Kaongezeka Kwenye List.
 
jamani wenzetu wanajua kutafuta location kwa ajili ya kazi zao lakini sisi tunaongozwa na ujinga mwingi na upumbavu kidogo, matokeo yake stori zetu mbovu, mtu mmoja anafanya kazi nne kwa wakati mmoja kisa anataka awe maarufu yeye tu hata kama uwezo wake ni mdogo ilimradi shaghala baghala.
money flower drama film location (mooshimwon)
location : Gyeongwonjae Ambassador Incheon Hanok Hotel
huu mji ni wa song do anapoishi song il kook
20180105000381_0.jpg

20180105000384_0.jpg

nasubiria episode za leo ziweke subtitle nipate kumuangalia mzee wa mipango kang pil joo.
Kuna EMPTY Ambae Anaangaliaga Na Sub Zake Mi Mpaka Leo Alichonielekeza Sijamuelewe.
 
jamani wenzetu wanajua kutafuta location kwa ajili ya kazi zao lakini sisi tunaongozwa na ujinga mwingi na upumbavu kidogo, matokeo yake stori zetu mbovu, mtu mmoja anafanya kazi nne kwa wakati mmoja kisa anataka awe maarufu yeye tu hata kama uwezo wake ni mdogo ilimradi shaghala baghala.
money flower drama film location (mooshimwon)
location : Gyeongwonjae Ambassador Incheon Hanok Hotel
huu mji ni wa song do anapoishi song il kook
20180105000381_0.jpg

20180105000384_0.jpg

nasubiria episode za leo ziweke subtitle nipate kumuangalia mzee wa mipango kang pil joo.
Huwaga Napafananisha na Shila Au ndo Shila Penyewe,Shila Hotel
Walipofunga ndoa Mastar Wa DOTS
 
2159ae917dcce201cabada9d6ea29a81.jpg

DAVICHI
WATOTO WAZURI WANA SAUTI TAMU WANAJUA KUIMBA HADI RAHA
HAPA WANAPERFORM NYIMBO YAO YA THIS LOVE ILIYOTUMIKA KAMA SOUNDTRACK KWENYE DESCENDANTS OF THE SUN

KAMSAHAMNIDA
 
Waloangalia Money Flower Episode 15 Huu Mstari Wataniambia Nani Kautamka

"If You do,Do Some More"

Na huu Pia

"The More I get to know you,the more I like you"

" I can never Get Away from You!"

Aigooooo Pil Joo ni Bae Jamani!
 
"If You do,Do Some More" - Chairman Jang akimwambia President. Jang Seong Man

"The More I get to know you,the more I like you" - Boo Cheon --> Pil Joo

" I can never Get Away from You! - Boo Cheon --> Pil Joo
 
Aigooooo!!
Damushin Mpitishie Bakuri la Ulojo ila usiweke Mayai.na Juic ya Bungo.
 
"If You do,Do Some More" - Chairman Jang akimwambia President. Jang Seong Man

"The More I get to know you,the more I like you" - Boo Cheon --> Pil Joo

" I can never Get Away from You! - Boo Cheon --> Pil Joo
Nilicheka Pale anawmambia Secrt Wake kuwa usimwambia Pil Joo kuhusu Hili then baadae Pil Joo anamuita kuongelea Hilo Hilo
Mi nahisi pia Pil Joo anajua kuwa Boo Cheon kashajua Ye Nani.

Pil Joo anashindwaga kuyajua ya Moo Hyun Tuuh Huwa Anam Surprise Sana.
 
Mkuu,
Hivi yule Yong Goo (mfuta articles! hihiHi) ndio nani yake Pil Joo?
Nimeanza kumuona kitambo lakini hadi sasa I have no idea.
 
Bado Awajamuonyesha Ni Nani hasa kwa Pil Joo Lakini Inaweza Akawa Best Wake Wa Damu ya Faida.
 
Ivi Awa Watu wa Sub Wana Nia Gani Na Hwayugi!!! Mbona Wanatutende ivi Lol!!! Siku nzima Nasubilia iwe Sub Wapi!!!
 
Hihihii! Endelea kusubiria 'sababu posts za nyuma nilikupa quinine lakini ukaamua kuitema badala ya kumeza.
Kama kawaida yangu....! Hihihihii.
 
Acha Tuuh cha Moto nkipata una Hamu na Kitu then kinkuwa ivi lololo!

Natamni Kama nikuletee hii simu unifanyie Yote Ayo..
Maana Hmm!!!
 
Back
Top Bottom