Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Acha Tuuh cha Moto nkipata una Hamu na Kitu then kinkuwa ivi lololo!

Natamni Kama nikuletee hii simu unifanyie Yote Ayo..
Maana Hmm!!!
Vumilia tu Mkuu. Umeweza wiki mbili sembuse viji-siku vichache tu? Hihihiiihi!
 
Uzee Tena Nilishapitiwa
Kwaiyo we Ushaiona!???
Ninayo hapa nataka kuiangalia sema sub niliyokuwa nayo haiko complete, kuna baadhi ya scenes hazijawekwa subs.

Kuna wengine wameona subs zinachelewa hivyo wanaamua kuangalia hivyo hivyo bila subs na Hangul yenyewe hawajui. Hihihihiiii!!
 
Naenda kuwa Mimi muda c mrefu.

Ila Sababu ya kuchelewa ivi ni nini!???
 
Naenda kuwa Mimi muda c mrefu.

Ila Sababu ya kuchelewa ivi ni nini!???
Subtitles brought to you by
The Monkey Minions @ Viki

Hao ndio jamaa ambao wanatengeneza subs za drama ya Hwayugi.
DramaFever, VIU, KOCOWA sidhani kama wana kibali cha kuionyesha hii drama hivyo hao 'Monkey Minions' team wako pake yao na ukiangalia Hwayugi kwa kila episode ni saa 1 & Dk. 20 hivi.

Hayo yote ni observation tu niliyofanya.
Sababu kuu hasa kwa kweli siijui.
 
Aigooo
Wanatutese inter Fans Kiukweli.
Lakini nao wanachukua Muda Mrefu,Wakati hii ni kazi Yao ya siku Zote.
 
Kwani wanaotafsiri Na Wao si Wa Korea Ama!??
Naona Myasian Ata kuplay Raw Aitaki
Hata wewe pia unaweza kujitolea na ukajiunga na hio team ya "Monkey Minions'. Nikimaanisha kuwa hizi subs zinafanywa na mashabiki kama mimi na wewe.

MyAsianTv nimeangalia lakini ep ya 3 bado hawajaweka.
 
Tujiunge Basi.
Wanakuwa Paid!??
 
Mafundi wa KPop,
Damushin sunbae & aminas chingu & mkuu Khantwe njooni mutoe msaada hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…