Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

daebak noona, mimi nilifikiri taarab asilia watu wa upande wa pili hamufuatilii.
ni yupi muimbaji wako bora alikuwa kwa hawa legendary.
Mi naskiliza Sana izi Yaani Sijuh Sababu Nimechanganyika Na Uko.
 
kama wewe upendwe nini ?
siwa umbo si wa nywele si waghuyuni,
mbele zero nyuma hakujulikani baraka ya wanja, kujipakaza machoni
kwenye visura wewe huko hisabuni.

Hivyo unadhani kwa yakini watakiwa,
hujui fulani kama anakuzuzuwa,
jaa marogi marogi number one,
amewachwa mitaani kwani nifungu la kurehemiwa.
sibasi tu sibasi tu sibasi tu.

hahahaaaaa EMPTY dongsaeng baadhi ya wakati unapaswa urudi nyuma tulikotokea,
unakwenda holini kuangalia show ya taarab asilia na wazee wako unakuta waheshimiwa wamekaa mbele yaani ni full ustaarabu. ukiamua kuinuka basi ni kucheza au unakwenda kumtunza muimbaji.
aigoooo ngoja niongeze chupa nyengine ya sojuuu nahisi bado sijalewa vizuri.
samahanini wajoseon wenzangu hapa nilipo nasikiliza taarab asilia, ndio muziki wetu wa asili watu wa pwani.

sibasi tu = abdalla issa.
 
Hahahahahahaha!!! Mbavu Zangu.
 
Kuna Sabah,Mwanahawa Na Yule Ambaye Anaendana na Sabah Yule mama jina limenitoka.
uyo mwanahawa tokea mama yangu ni kigori anaimba mpaka leo hii ana mtoto anakaribia robo karne bado anaimba
 
Back
Top Bottom