Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Deabak! Sunbae hujui kuwa mke wa mtu sumu?

Mmmhhh! Hii kazi mie najitoa naamua kumuachia chingu yangu aminas!
sumu nyengine ukinywa hazileti madhara yoyote ndani ya mwili lakini hukuzidishia furaha.ila kwa jinsi episode ya 16 ilivyomalizia baada ya namo hyun naye kumfahamu kang pil joo kama ndiye jang eun cheon nategemea uhasama mkubwa sana kati ya wawili hao kwa sababu namo hyun hatokubali kuona jang bo cheon anapoteza nafasi ya kuwa mwenyekiti wa cheong A family group.
Na suala hili linachangiwa zaidi na kitendo cha kang pil joo kumtolea nje namo hyun baada ya kumwambia amefuta hisia zote za kimapenzi kwake yeye.
 
leo 9/1/2018 mtumiaji mmoja wa mtandao wa kijamii nchini korea aliweka taarifa kwenye account yake inayowahusu muigizaji gong yoo 39 (goblin drama) na jung yoo mi ya kwamba wawili hao wanatarajia kufunga ndoa na tayari wameshafanya maombi ya kufanya sherehe yao ya harusi kwenye hotel ya Shilla siku ya jana.
lakini upande wa pili Soop entertainment ambayo inawasimamia gong yoo na jung yoo mi wamekanusha taarifa hizo na wamesema watachukua hatua za kisheria kwa aliyevumisha taarifa hizo, taarifa rasmi inasema:
AEN20180109007200315_01_i.jpg

"We are releasing a statement regarding the rumor that’s spreading on social media and various online community sites right now. The rumors about Gong Yoo and Jung Yoo Mi are totally false. From here on out, we will be taking firm legal action against rumors and malicious comments.”
taarifa ya soop enteratinment imeendelea kusema
uvumi wa ndoa hauna ukweli wowote,gong yoo na jung yoo mi hawana undugu wowote wa kuzaliwa lakini ni kama mtu na mdogo wake.
 
Anhaaa! Mi Nilidhani kweli coz nimeona izi taarifa Zinasambaa.
 
Lee-Seok-Hoon-Money-Flower-OST-Part-3.jpg

I'll trust you. I'll keep you in my arms.
After many tough days
Then you can smile and look at me
Someday the day I dreamed will come

You can say it's hard.
You're the only one running without a break.
It's a little late. Sometimes I look back.
Tomorrow will be a long way.

At the end of a tired and weary day
I can hug you without saying anything
I'm here.
Do not be shaken, you go your way
I know.

I'll laugh together. I'll cry together.
Tell me what you put on your chest.
I will listen to you someday sometime in the future.
I can laugh to remember today

La Lara Lara La Lara Lara
Trust the way you're walking.
 
Lee Seok Hoon – Healing (Feat. Bubbledia)

please: kama hujawahi kufika joseon hata ukiwa umelala basi usisome

naega neol mideojulge gyesok neol anajulge
himgyeoun manheun naldeuri jinamyeon
geuttaeneun useojullae nal bomyeo useojullae
eonjenga kkumkkwo on nari ol geoya

himdeulda malhaedo dwae jogeumeun swieodo dwae
swim eopsi dallyeoogiman han neojanha
jogeum deo neujeodo dwae gakkeumeun dwireul dorabwa
naeireun deo meon gireul dallil geoya

godoego jichin haru kkeute
amu mal eopsi neol ana jul su issneun
naega yeogi issjanha geu nuga mwora haedo
heundeullijima neon neoui gireul ga
naega algo issjanha

gati useojulge gati ureojulge
gaseume mudeodun geu mal da malhaebwa
naega deureojulge eonjenga meon husnari wa
oneureul gieokhamyeo useul su issge

lalalala lala lalalala lala
niga geotgo issneun gireul mideobwa

Hii ost Mbona Sikuisikia.
Apa ndo unaweza toka Machozi bila ata kuelewa inaelezea Nini.

Melody Na Izo Sauti Duuh.
Korea Wanaijua Ballads na kama Wangekuwa Wanaimba English Dunia Nzima Tungeamia Kwao.
Japo music Aichagui Lugha.
 
baadhi ya wakati huwa najiuliza hii lugha yetu ya kiswahili mashairi ya ballad song huwa haikubali?
ukiwasikiliza wakorea huhitaji hata dictionary ili kufahamu maana
 
Yani jamani hakuna series naikubali kama BRIDAL MASK Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, yani hii hata niinagalie mara kumi siichoki na ndio series iliyonifanya nipende kuangalia wakorea,, naomba kuwasilisha,,,,
 
Yani jamani hakuna series naikubali kama BRIDAL MASK Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, yani hii hata niinagalie mara kumi siichoki na ndio series iliyonifanya nipende kuangalia wakorea,, naomba kuwasilisha,,,,
We mgen wa series za kikorea
 
aminas,
Chingu mrejesho wako bado naungoja.
Mwezangu We Acha Tuuh Now Ndo Nipo Free kidogo ndo Nataka Niicheki Vizuri.
Ntakupa Leo Leo Mrejsho Mwaya.

NB. Matumizi ya neno Mwaya na Mwezangu Nimezoea Mpaka Najikuta Nayaandika APA
Sorry Kama Nitakuwa Nimekukwaza Coz Siwezi Yafuta.
Mrejesho Ntakupa.
 
ni takribani miaka 5 tokea nianze kuwa mnywaji wa pombe kali ya korean drama na kadri ninavyoendelea kunywa cha kushangaza satisfaction inaongezeka tofauti na jinsi wachumi wanavyotuaminisha kama kadri unapo consume na satisfaction inapungua.
nahisi umefika wakati wa Damushin kupunguza au kuacha kabisa kunywa ulevi huu mkali ili kuendelea kudumisha afya yake, hivyo basi
  • kuanzia wiki ijayo akipenda Mungu nitakuwa nakunywa pombe chupa moja tu yenye ujazo kama wa chupa ya kahawa, naamini hii ni njia ya kwanza itakayonifanya nipunguze ulevi.
  • nitapunguza kutembelea baadhi ya bar zinazotoa huduma ya ulevi pendwa bila ya malipo yoyote, miongoni mwa bar ninazopenda kuzitembelea ni pamoja na dramanice, kissassian,dramacool, kshow, ikshow na bar nyenginezo.
  • nitapunguza kutembelea baadhi ya kuta zinazotoa matangazo na taarifa zinazohusu kuzalishwa kwa ulevi mpya ambao tokea nianze kunywa nimeshindwa kuachana nao,miongoni mwa kuta hizo ni pamoja na soompi, reddit,dramabeans,alkpop,soompi forum n.k
  • bila ya kuathiri vifungu vya hapo juu nitalazimika kumalizia kreti zangu takribani 40 ambazo nimezihifadhi kwenye store yangu ndipo niache kabisa kunywa ulevi huu pendwa.
  • nitalazimika kuwakimbia walevi wenzangu waliokubuhu kwenye ulevi huu kwani hii ndio njia nyengine itakayonisaidia nisipate taarifa zozote kuhusiana na kuzalishwa kwa ulevi mpya, aigoooo walevi wenzangu naomba munisamehe.
  • kubadili mfumo mzima wa kimaisha ndani ya nyumba hii kama vile kutokutembelea kabisa chumba hichi cha hatari na vile vile nisipokee simu yoyote yenye lengo la kunishawishi kutembelea chumba hichi (notifications).
  • je ! haya yote yatawezekana? wakati ambapo ulevi unaoitwa money flower,black knight, hwayugi ndio zinazidi kuninogea
  • EMPTY dongsaeng, aminas, mjr95 na walevi wengineo kama mumegundua njia nyengine japo ya asili ya kuacha ulevi huu basi tupeane taarifa.
  • hiii pombe ya leo imenifanya niwashwe washwe, niwe frustration na kuishia kutamani kukutana na rais wa korea ya kaskazini mwenye namba yake ya simu aiweke humu ndani.
  • mwisho nawaambia walevi wenzangu tuendeleze kunywa ulevi huu wa korean drama hadi hapo wapishi wa ulevi wa bongo movies watakapoweza kutengeneza ulevi wao kwa kiwango cha juu.
  • yote haya niliyoyaandika asilimia (x) nipo kwelini na asilimia (y) natania, hivyo basi wale wazee wa betting waje watabiri asilimia x ni ngapi na y ni ngapi, mshindi atapata nafasi ya kwenda joseon
 
Back
Top Bottom