Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

lee dong wook na choo seung woo kwa pamoja wamethibisha ushiriki wao kwenye medical drama inayokwenda kwa jina la LIFE ambayo itaonyeshwa kupitia kituo cha televisheni cha JTBC.
Lee so yeon ndiye muandishi wa drama ya life ambaye pia ndiye muandishi wa drama ya secret forest ambayo pia muigizaji alikuwa ni choo seung woo.
lee dong wook ataigiza nafasi ya daktari na choo seung woo ataigiza nafasi ya hospital director.
lee-dong-wook-cho-seung-woo-xpn.jpg
 
mwanadada lee si young pamoja na mume wake jo seung hyun ambaye ni mfanya biashara wamefanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza tokea wafunge ndoa.
lee si young alifanikiwa kupata mtoto wake wa kwanza ambaye ni mwanamme siku ya jumapili 7/1/2018.
Lee-Si-Young-XPN.png

pongezi kwake.
 
Hivi Jun Ji Hyun ameshajifungua sunbae?
 
Jamani nisaidien kila nikiingia dramafire inagoma nahc kuumwa jamn nisaidien link au App nzuri
wanaotumia dramafire nina wasi wasi wanaota ndoto nzuri muda huu,
mmoja anaota anafunga ndoa na lee seung gi
mmoja anaota anafunga ndoa na bae suzy
mmoja anaota anapata dinner na mke wa mtu song hye kyo ili mradi ni balaa
ila ngoja niwaite
EMPTY dongsaeng, mjr95 hyungnim, aminas noona,Numbisa
 
EMPTY dongsaeng, aminas noona, pindi mutakapoamka naomba taarifa hii mumfikishie director na team nzima ya money flower ya kwamba nimechoka kuwaona Na mohyun na jang bo cheon wakilala chumba kimoja kama wana ndoa, umefika wakati wa kang pil joo naye kuishi pamoja na mwanadada namo hyun japo angalau kwa dakika 60.
nawaomba huu ujumbe muufikishe sehemu husika na matumaini yangu nitajibiwa kabla ya next episode.
Screen_Shot_2018-01-08_at_7.07.02_AM.png
 
Deabak! Sunbae hujui kuwa mke wa mtu sumu?

Mmmhhh! Hii kazi mie najitoa naamua kumuachia chingu yangu aminas!
 
Ivi Inakuaje Kkaoo Message Zinaingia then Wewe Aupo,Wezako Wote Wanacheka We Unashangaa,Hahahahhahaha Dah! Seung Gi Umu Ndani Ni Nuts Kiukweli.
 
Deabak! Sunbae hujui kuwa mke wa mtu sumu?

Mmmhhh! Hii kazi mie najitoa naamua kumuachia chingu yangu aminas!
Yah Ni kweli Mke wa Mtu Sumu,Ila Anaweza Kurudi Kweli kwa Pil Joo

Itakuwa drama yangu ya kwanza Kuangalia Ambayo Second lead anamuoa Female Lead Then Anakuja Kuolewa Tena Na First Lead Doooh!
 
Back
Top Bottom