Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

jang geun suk na han ye ri kwa pamoja wamethibitisha kushiriki kwenye drama inayokwenda kwa jina la "Switch – Change the World” ambayo itaonyeshwa kupitia kituo cha SBS.

han ye ri ataigiza uhusika wa Oh ha ra ambaye ni muendesha mashitaka na jang geun suk ataigiza uhusika wa mwanamme anayejighulisha na shughuli za utapeli baada ya kushindwa kufikia malengo ya kuwa muendesha mashitaka.
hii itakuwa ni drama yake ya kwanza kwa jang geun suk baada ya miaka miwili tokea ashiriki drama ya Jackpot.

huyu dada nilikuwa namuogopa kwenye six fly dragons upambanaji wake utafikiri kama namimi nilikuwepo kwenye ile drama, hahahahahahaaa lee bang ji na muhyul walikutana na balaaa,halafu ana sura halisi ya kikorea.
 
Uyu Ajaenda Kujitengeneza Kama Walio Wengi!
Yupo Vizuri Nilimpenda Na Kutokumpenda Mule Ndani.
 
aigooooo mjr95 sunbae mimi hakuna drama ninayoisubiria kwa hizi upcoming, si unajua nataka nianze likizo ya bila ya malipo.
hapo kwenye radio romance nahisi umechanganya kwa sababu mwandada anayeigiza uhusika wa Song Geu Rim anaitwa kim so hyun na ameshiriki drama ya ruler of the mask pamoja na while you were sleeping (cameo)


na uyo jamaa anayeigiza nafasi ya Ji Soo Ho anaitwa yoon doo joon ameigiza kwenye because this is my first life (cameo) na si money flower drama.

nafikiri itakuwa umemkusudia park se wan
 
Heeeh!, kumbe ngoja niwachunguze vizuri
 
Iris, Athena,spy Na zingneeeeee
 
Mkuu Damushin Sunbae Shukrani sana ndugu kwa taarifa nikweli nilichanganya. Hawa viumbe wawili wanafanana sana ndio maana nilivyo muona tu kwenye kava ya Radio Romance nikajua ni yy tu. Aisee ila wanafanana sana.
 
Sasa nisipokuita sunbae nikuiteje, Damushin sunbae? lol
 

Aliacha ALBUM Ambayo Aliitka Aitoe January Hii.
Jina La Album Ni POET
SM Wameamua Kuitoa Hii Album Baada ya Kukubariana Na Mama Yake Na Mapato Yatakayopatikana Apa Atakabidhiwa Mama Yake

Track Zinazopatikana Kwenye Album Hii

Na Bahati Nzuri Baadhi ya Nyimbo Alishazifanyia Na Video Kabisaa..
Na Naziona Zinafanya Vizuri YOUTUBE.

R.I.P.
 
Niko very dissapointed! Nirudishie mwenyewe kama imekushinda.
Aijanishinda Kwani Ningekuwa Nishairudisha, Tatizo Ni Kuwa Labda Ni Ushamba Wangu Ambao Nimeshindwa Kujua Ni Wapi Pakutafutia.
Sorry Mwaya Nishamehe Bure..Usichukie Ivyo Chingu
 
Aijanishinda Kwani Ningekuwa Nishairudisha, Tatizo Ni Kuwa Labda Ni Ushamba Wangu Ambao Nimeshindwa Kujua Ni Wapi Pakutafutia.
Sorry Mwaya Nishamehe Bure..Usichukie Ivyo Chingu
Ok! Hapo nimekuelewa.

Kuhusu list yako sio mbaya iko vizuri japo kuna matango pori ma2 ma3 umechanganya ndani. LOL!
 
Ila sijapenda ulivyozitupilia mbali 'Fated to Love You' & 'Shine or Go Crazy'! Au ndio mambo ya 'Tasteless? LOL!
Fated to Love you Nzuri Eeehh??
Sine O Go Crazy Nayo Nzuri??
Now Natamni Sana Kuangalia Drama Nzuri.
Ukiacha Na Hwayugi,Not Robot na Knight Sina Drama Nyengine Naangalia.
Sa Kama Izo Nzuri Naweza Angalia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…