Hizo zote kacheza Jang Hyuk.Fated to Love you Nzuri Eeehh??
Sine O Go Crazy Nayo Nzuri??
Now Natamni Sana Kuangalia Drama Nzuri.
Ukiacha Na Hwayugi,Not Robot na Knight Sina Drama Nyengine Naangalia.
Sa Kama Izo Nzuri Naweza Angalia!
Dong Yi Naitafuta Sema Site Nazotumia Si Rafiki Tangu DRAMAFIRE Iunguee Imekuwa Tatizo.Hizo zote kacheza Jang Hyuk.
Female lead wa 'Hwayugi' ndiyo amecheza naye kwenye "Shine or Go Crazy".
Kwenye "Fated to Love You' yupo pamoja na Jang Na-Ra aliyeigiza "Go Back Couple".
Ukiachana na hizo kuna pia '3 days' & 'Dong Yi'. Ni full motoo!!
Nenda Dramanice ipo na mb zipo kidogo.Dong Yi Naitafuta Sema Site Nazotumia Si Rafiki Tangu DRAMAFIRE Iunguee Imekuwa Tatizo.
Kama Unayo Naiomba.
Link yake ndio hiyo. Ikizingua nijulishe nikupe nyengine.Dong Yi Naitafuta Sema Site Nazotumia Si Rafiki Tangu DRAMAFIRE Iunguee Imekuwa Tatizo.
Kama Unayo Naiomba.
Poa and Thanks OppaNenda Dramanice ipo na mb zipo kidogo.
Thanks ChinguLink yake ndio hiyo. Ikizingua nijulishe nikupe nyengine.
https://ondramanice.io/drama/dong-yi-drama-detail
Link nyengine hiyo hapo iweke backup.Thanks Chingu
Anhaa! Okay Kwaiyo we Tasteless Yako Ni Sababu Ya Mabitoz Wa Sa Ivi?Link nyengine hiyo hapo iweke backup.
List full episodes of Dong Yi at Gogodrama
Karibu Joseon Chingu maana hawa mabitoz wa sasa wanaiharibu sana KDrama. Twenzetu tukawaone wakongwe wakiitendea haki hii sanaa.
Hahaaa uje kabisa mzima mzima.Link nyengine hiyo hapo iweke backup.
List full episodes of Dong Yi at Gogodrama
Karibu Joseon Chingu maana hawa mabitoz wa sasa wanaiharibu sana KDrama. Twenzetu tukawaone wakongwe wakiitendea haki hii sanaa.
We unaonaje? Mimi ninavyoona ni kuwa recent dramas nyingi hazina mzuka kama zile za miaka ya nyuma.Anhaa! Okay Kwaiyo we Tasteless Yako Ni Sababu Ya Mabitoz Wa Sa Ivi?
Ndio maana mimi nimezipiga stop kwanza ili nirudi kupata ule uhalisia wenyewe.We unaonaje? Mimi ninavyoona ni kuwa recent dramas nyingi hazina mzuka kama zile za miaka ya nyuma.
Nimeanza kuangalia ep ya 1 ya 'Immortal Lee Sun Shin' nikakutana na mtu wangu wa nguvu 'Sambong', (sijui jina lake).Hahaaa uje kabisa mzima mzima.
Jina lake halisi ni Kim Myoung Min. Hahahaa huyo mzee kwenye Six Flying Dragons nilifurahi sana na zile plan zake za kuandaa taifa jipya.Nimeanza kuangalia ep ya 1 ya 'Immortal Lee Sun Shin' nikakutana na mtu wangu wa nguvu 'Sambong', (sijui jina lake).
Hapa nilipo meno yote yapo nje kwa furaha.
Hahhahhaaa! Yaani hii drama unaweza kuangalia bila ya subtitle na ukaielewa yote nzima. LOL!
Ngoja tuone huko mbele itakuwaje!
Nina hamu kweli nijue kilicho jili baina ya hao viumbe viwili.
Aji3 Uyo Anakata Mitaaa.
Ni Episode Inaoneshwa Mudaa Huu
Hahhhahaa!! Tupo pamoja mkuu.Jina lake halisi ni Kim Myoung Min. Hahahaa huyo mzee kwenye Six Flying Dragons nilifurahi sana na zile plan zake za kuandaa taifa jipya.
Mkuu humo ndani ya The Immortal Yi Soon Shin kacheza kwa umaridadi mkubwa mno, karibu kilingeni saizi tumefika watatu Hahaa.
True,True Kabisaa Ata Maisha Ya Sa Ivi Ni Tofauti Na Ya Zamani Kwaiyo Aziwezi Kuwa Kama Izo Za Zamani.We unaonaje? Mimi ninavyoona ni kuwa recent dramas nyingi hazina mzuka kama zile za miaka ya nyuma.