Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

wale wazee wa historical lipi pambano kali kati kati ya
damdeok vs sagal yeon in king gwaggaeto
damdeok vs murong xi
dae jo young vs li kaigu in dae joyoung
muhyool vs dojin in kingdom of the wind


"Historical dramas" zote huwa zina mapambano makali kati ya wahusika wakuu, kama hao uliowataja. Ila zinatofautiana maudhui. "Age of Empires" na "King Geunchongo" zina simulizi na mapambano makali. Utazipata kwenye "website: http://koreanhistoricaldramas.hostingsitefree.com".

Uzuri wa " Korean historical dramas" ni mafunzo yaliyomo kuhusu utawala wa dola na jinsi watu maskini wanavyopambana na dola dhalimu.
 
wale wazee wa historical lipi pambano kali kati kati ya
damdeok vs sagal yeon in king gwaggaeto
damdeok vs murong xi
dae jo young vs li kaigu in dae joyoung
muhyool vs dojin in kingdom of the wind


Pambano kali kabisa kwangu mimi ni Ddang Sae and Gil Tae Mi's Final Fight ( Best Kdrama Sword Fight Ever! )
katika Six flying dragon
Hili pambano ni fupi sana lakini kuna upanga mzito.
 
Pambano kali kabisa kwangu mimi ni Ddang Sae and Gil Tae Mi's Final Fight ( Best Kdrama Sword Fight Ever! )
katika Six flying dragon
Hili pambano ni fupi sana lakini kuna upanga mzito.

Mkuu hili pambano ni series inatwaje??
 
Nimemaliza kuangalia Bad guy ni drama nzuri sana ila ina mwisho mbovu kama Iris, so dissapointed at the end.
 
Jamani napata shida sana kudownload hizi Korean Drama..kama mnavyojua kasi ya mitandao yetu nchini..naomba mwenye series nyingi za Korea tuwasiliane weekend moja nije na External harddisc yangu nihamishe series zote kali.. 0682338065
 
wale wazee wa historical lipi pambano kali kati kati ya
damdeok vs sagal yeon in king gwaggaeto
damdeok vs murong xi
dae jo young vs li kaigu in dae joyoung
muhyool vs dojin in kingdom of the wind


Aisee Lile la damdoek na murong xi ni balaaa! Lile la muhyool na dojin ni la kawaida coz dojin hakuwa matched na muhyool! Angalia slave hunter pambano la Song taeha na Wang!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…