Kuanzia ep ya 3 hadi 6 PD kazingua ile mbaya.
Story inaenda slow hatari. Sijapenda!
gwenchanna gwenchana
Sa Hivi Sina Drama Nyengine Zaidi ya Grand Prince ila Naisubiria Drama Ya Hyun Na Lawless Lawyer Hii Naiona Nzuri Ndo Nazisubiri Izo Now Nipo kwa Break Iso Break.gwenchanna gwenchana
ni kweli imekuwa taratibu sana episode mbili za juzi ukilinganisha na recent episode ila nadhani anahitaji muda zaidi kujitathmini yeye ni nani na atawezaje kudhihirisha ukweli kwa pande zote mbili zinazomtegemea.
sijafurahishwa na uhusika wa gream reper kujitokeza kila episode, kwa mtazamo wangu baada ya kufanya makosa wakati wa kukusanya roho ndio ilipaswa iwe ni mara ya mwanzo na ya mwisho kuonekana kwenye matukio.
unaonaje ukaitafuta drama ya my mister (ahjussi) ipo vizuri sana japokuwa episode 1 ilikuwa taratibu sana.
usaliti wa kimapenzi (michepuko)
vita ya madaraka kwenye kampuni
dhiki na changamoto za maisha
mapenzi kati ya wawili wenye tofauti kubwa ya kiumri.
aigoooo hii bangi niliyotumia leo imenilazimu nifanye operation safisha hard disk kwenye PC yangu.Sa Hivi Sina Drama Nyengine Zaidi ya Grand Prince ila Naisubiria Drama Ya Hyun Na Lawless Lawyer Hii Naiona Nzuri Ndo Nazisubiri Izo Now Nipo kwa Break Iso Break.
My Ajusshi nikonayo sambamba. Nimefika ep ya 9, nasubiri iendelee.gwenchanna gwenchana
ni kweli imekuwa taratibu sana episode mbili za juzi ukilinganisha na recent episode ila nadhani anahitaji muda zaidi kujitathmini yeye ni nani na atawezaje kudhihirisha ukweli kwa pande zote mbili zinazomtegemea.
sijafurahishwa na uhusika wa gream reper kujitokeza kila episode, kwa mtazamo wangu baada ya kufanya makosa wakati wa kukusanya roho ndio ilipaswa iwe ni mara ya mwanzo na ya mwisho kuonekana kwenye matukio.
unaonaje ukaitafuta drama ya my mister (ahjussi) ipo vizuri sana japokuwa episode 1 ilikuwa taratibu sana.
usaliti wa kimapenzi (michepuko)
vita ya madaraka kwenye kampuni
dhiki na changamoto za maisha
mapenzi kati ya wawili wenye tofauti kubwa ya kiumri.
Mi Nitamsubiri Tuuh Sitoenda Kwa Mwengine Na Hii Roho Naomba Mola Wangu Aniongozee Uku Uku. Sina Sababu Ya Kumkimbia Mtu Sababu yuko Kwenye Mitihan Nikiwa Nami Ni Binaadam Yaweza Nikuta Kama Ayo..
mtu wangu hwi (grand prince eun seong), ninapolitaja jina lako nalifananisha na mpote ulizo wa firimbi, kupenda kwangu kulitaja jina lako kumenifanya niishie kukupenda na wewe mwenye jina.
nahisi imekuwa kama ni majaliwa (fate =운명= unmyeong ) kwetu sisi kupendana, kiukweli tulikuwa tuna ndoto (dream=꿈=kkum) kubwa sana ya kuwa pamoja kwenye maisha yetu lakini ndoto hii imekuwa ni fupi sana, tuliota tuwe tunaishi pamoja, kula pamoja kwenye meza, kukaa na kuchora tukiwa pamoja huku tukitabasamu, ila kwa sasa nimeshatambua hii ndoto fupi ni ngumu kutimia. nadhani majaliwa yangu yamenizuia mimi kukufuata huko ulikopelekwa kisiwani, acha mimi nife naamini na wewe utanifuata ili tuishi pamoja, nitakuwa kama ua lenye kuvutia linalomsubiri mchumaji.
NB:
hii barua unaweza hata kuchukulia mkopo wa trillioni 1.5 kwenye benki yoyote nchini tanzania bila ya kuweka rehani kitu chochote na CAG atakapofanya uhakika wa bank statement report asifanikiwe kuziona.
hizi drama za kikorea ukiziendekeza sana kuziangalia zinaweza kukufanya ukamchukia bila sababu yoyote ya msingi mwenza wako ambaye mumeweka ahadi ya kuishi pamoja kama mke na mume kwa maisha yenu yote.하하하 하하하하 하하하 하하하하 하하하 하하하하
aigoooo unaweza kujikuta unamchukia kwa sababu kwenye mahusiano yenu ya kimapenzi hajawahi kukutumia hata message angalau yenye kuuliza
honey leo umekunywa chai?
honey umeshaleta unga wa sembe?
wife leo umeamka na afya njema?
wife umeshachemsha muhogo usio na samaki?
ndio maana mimi nikimaliza kuangalia drama ndio basi sihitaji kujifunza chochote kutoka kwao kwa sababu mambo yanayofanywa kwenye drama za kikorea kwenye nchi yaTanzania huwezi kuyapata kwa mwanamke na mwanamme yeyote yule labda mbinguni ukishakufa, na mimi sijawa tayari kufa muda huu mpaka nifanikiwe kuokota trillioni 2 za kitanzania zikiwa kwenye mfuko wa rambo.
haya mambo wanayotuonyesha wakorea kwenye sanaa hayaendani kabisa na halmashauri ya akili zetu.
eti kwa kuwa Damushin sunbae amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela na umri wake wa kuzaliwa ni miaka 22 ndio aminas noona amsubiri atoke jela ndio waje waoane
thubutu acha afungwe na mimi nitatafuta mtu mume mwengine ambaye hana tenzi dume (kwa sauti ya ...........)
au noona utamsubiri muje muoane mukiwa wazee wa miaka 43.
natania hii soju ya leo ni kali sana
hivi kwa wale waangaliaji wa sanaa za nchi nyengine zaidi ya korea raha kama hizi zipo?하하하 하하하하 하하하 하하하하 하하하 하하하하
kama zipo tupeane taarifa na sisi wakorea weusi tuzifuatilie.
kuna uwezekano mkubwa sana wa hii drama kumaliza kama queen for seven days, najua shujaa wangu grand prince jin yang atang'olewa madarakani na wapambe wa prince eun seong na mwisho wa siku itategemeana na maamuzi ya mfalme ajae amchukulie hatua gani dethroned king huyo.
jo sang wook atabaki kuwa ndiye muigizaji wangu bora kwenye drama hii hata kama nafasi yake ni second lead actor, uhusika wake ameubeba vile inavyotakiwa kuanzia facial expression na hata uwasilishaji wake wa maneno ni wenye kuvutia, naamini uzoefu alionao kwenye sanaa ya uigizaji unamfanya amwache mbali sana yoon shi yoon.
ni matuimaini yangu yoon shi yoon na waigizaji wengine wachanga watajifunza kitu kwa jo sang wook.
Khantwe noona hichi kinywaji umempelekea wewe au bajeti hairuhusu?
ahsante sana kwa msimamo wako na Mungu azidi kukusimamia.Mi Nitamsubiri Tuuh Sitoenda Kwa Mwengine Na Hii Roho Naomba Mola Wangu Aniongozee Uku Uku. Sina Sababu Ya Kumkimbia Mtu Sababu yuko Kwenye Mitihan Nikiwa Nami Ni Binaadam Yaweza Nikuta Kama Ayo..
Amiin.ahsante sana kwa msimamo wako na Mungu azidi kukusimamia.
Acha uongo chingu. Ni dhambi!Mi Nitamsubiri Tuuh Sitoenda Kwa Mwengine Na Hii Roho Naomba Mola Wangu Aniongozee Uku Uku. Sina Sababu Ya Kumkimbia Mtu Sababu yuko Kwenye Mitihan Nikiwa Nami Ni Binaadam Yaweza Nikuta Kama Ayo..
Hahahaha Chinguya Uongo Wangu Uko Wapi Apo!????Acha uongo chingu. Ni dhambi!
hahahahahahahaaaaaaa unapaswa ukapimwe tenzi dumeAcha uongo chingu. Ni dhambi!
Kwaiyo Nawe Unakubaliana Nae!???hahahahahahahaaaaaaa unapaswa ukapimwe tenzi dume
nimecheka sana wakati nasoma hii comment.
dongsaeng umeandika utafikiri unatoka usingizini.
anakusalimia gream reaper wetu wa kwenye the miracle we met.
bahati mbaya sina uwezo wa kusoma kilichomo nafsini mwako.Kwaiyo Nawe Unakubaliana Nae!???
Hahahhahahhaha Damushin Umemalizabahati mbaya sina uwezo wa kusoma kilichomo nafsini mwako.
kama nilivyoandika mwanzo ninapaswa kukutakia kila la kheri kwenye msimamo wako.
sidhani kama dongsaeng amedhamiria kukudhihaki kupitia comment yake ila alichokifanya ni kukusifia kutokana na msimamo wako wa kishujaa japokuwa hajaweka hadharani furaha yake, alichokitaka ndio kimekua kutokana na responding yako.