Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kuanzia ep ya 3 hadi 6 PD kazingua ile mbaya.
Story inaenda slow hatari. Sijapenda!
Ushaanza Kama Kawaida Yako.

Gwenchanna, Gwenchanna EMPTY
gwenchanna gwenchana
ni kweli imekuwa taratibu sana episode mbili za juzi ukilinganisha na recent episode ila nadhani anahitaji muda zaidi kujitathmini yeye ni nani na atawezaje kudhihirisha ukweli kwa pande zote mbili zinazomtegemea.
sijafurahishwa na uhusika wa gream reper kujitokeza kila episode, kwa mtazamo wangu baada ya kufanya makosa wakati wa kukusanya roho ndio ilipaswa iwe ni mara ya mwanzo na ya mwisho kuonekana kwenye matukio.
unaonaje ukaitafuta drama ya my mister (ahjussi) ipo vizuri sana japokuwa episode 1 ilikuwa taratibu sana.
Ajusshi09-00045.jpg

Ajusshi09-00365.jpg

usaliti wa kimapenzi (michepuko)
vita ya madaraka kwenye kampuni
dhiki na changamoto za maisha
mapenzi kati ya wawili wenye tofauti kubwa ya kiumri.
 
Sa Hivi Sina Drama Nyengine Zaidi ya Grand Prince ila Naisubiria Drama Ya Hyun Na Lawless Lawyer Hii Naiona Nzuri Ndo Nazisubiri Izo Now Nipo kwa Break Iso Break.
 
aigoooo hii bangi niliyotumia leo imenilazimu nifanye operation safisha hard disk kwenye PC yangu.
baadhi ya drama nimeamua kuzifuta kwa sababu hazinipi hamu ya kuendelea kuziangalia hata kama ninapokuwa sina going drama ya kuangalia na sababu kubwa naziona kama ni drama za zilizopitwa na wakati.
yong pal, goblin, kill me heal me, secret, horse doctor, yi san.
kwa zinazoendelea nimeangalia should we kiss first nimeamua niachane nayo kwa sababu ipo taratibu sana kwenye conversations.
mother ndio drama pekee niliyoibakisha

najishauri kama niitafute drama ya something in the rain (pretty noona who buys me food)
ambayo lead ni Jung Hae In na Son Ye Jin

125fd281c7.jpg
 
gwenchanna gwenchana
ni kweli imekuwa taratibu sana episode mbili za juzi ukilinganisha na recent episode ila nadhani anahitaji muda zaidi kujitathmini yeye ni nani na atawezaje kudhihirisha ukweli kwa pande zote mbili zinazomtegemea.
sijafurahishwa na uhusika wa gream reper kujitokeza kila episode, kwa mtazamo wangu baada ya kufanya makosa wakati wa kukusanya roho ndio ilipaswa iwe ni mara ya mwanzo na ya mwisho kuonekana kwenye matukio.
unaonaje ukaitafuta drama ya my mister (ahjussi) ipo vizuri sana japokuwa episode 1 ilikuwa taratibu sana.
Ajusshi09-00045.jpg

Ajusshi09-00365.jpg

usaliti wa kimapenzi (michepuko)
vita ya madaraka kwenye kampuni
dhiki na changamoto za maisha
mapenzi kati ya wawili wenye tofauti kubwa ya kiumri.
My Ajusshi nikonayo sambamba. Nimefika ep ya 9, nasubiri iendelee.
Toka ilipoanza hadi ilipofikia sijaona ikiniangusha licha ya kuwa na dakika zaidi ya 70 per episode.
Mambo yamekuwa opposite, ndio kwanza nahisi dakika zinayoyoma haraka. Hihihiii!

Grand Prince tumuachie aminas.
Sisi tukomae na My Ajusshi (tvN) na The Miracle We Met (KBS2).
 
DbXenZsV0AEoUnY.jpg

mtu wangu hwi
(grand prince eun seong), ninapolitaja jina lako nalifananisha na mpulizo wa firimbi, kupenda kwangu kulitaja jina lako kumenifanya niishie kukupenda na wewe mwenye jina.
nahisi imekuwa kama ni majaliwa
(fate =운명= unmyeong ) kwetu sisi kupendana, kiukweli tulikuwa tuna ndoto (dream=꿈=kkum) kubwa sana ya kuwa pamoja kwenye maisha yetu lakini ndoto hii imekuwa ni fupi sana, tuliota tuwe tunaishi pamoja, kula pamoja kwenye meza, kukaa na kuchora tukiwa pamoja huku tukitabasamu, ila kwa sasa nimeshatambua hii ndoto fupi ni ngumu kutimia. nadhani majaliwa yangu yamenizuia mimi kukufuata huko ulikopelekwa kisiwani, acha mimi nife naamini na wewe utanifuata ili tuishi pamoja, nitakuwa kama ua lenye kuvutia linalomsubiri mchumaji.

NB:
hii barua unaweza hata kuchukulia mkopo wa trillioni 1.5 kwenye benki yoyote nchini tanzania bila ya kuweka rehani kitu chochote na CAG atakapofanya uhakika wa bank statement report asifanikiwe kuziona.
하하하 하하하하 하하하 하하하하 하하하 하하하하​
hizi drama za kikorea ukiziendekeza sana kuziangalia zinaweza kukufanya ukamchukia bila sababu yoyote ya msingi mwenza wako ambaye mumeweka ahadi ya kuishi pamoja kama mke na mume kwa maisha yenu yote.
aigoooo unaweza kujikuta unamchukia kwa sababu kwenye mahusiano yenu ya kimapenzi hajawahi kukutumia hata message angalau yenye kuuliza
honey leo umekunywa chai?
honey umeshaleta unga wa sembe?
wife leo umeamka na afya njema?
wife umeshachemsha muhogo usio na samaki?
ndio maana mimi nikimaliza kuangalia drama ndio basi sihitaji kujifunza chochote kutoka kwao kwa sababu mambo yanayofanywa kwenye drama za kikorea kwenye nchi yaTanzania huwezi kuyapata kwa mwanamke na mwanamme yeyote yule labda mbinguni ukishakufa, na mimi sijawa tayari kufa muda huu mpaka nifanikiwe kuokota trillioni 2 za kitanzania zikiwa kwenye mfuko wa rambo.
haya mambo wanayotuonyesha wakorea kwenye sanaa hayaendani kabisa na halmashauri ya akili zetu.
eti kwa kuwa Damushin sunbae amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela na umri wake wa kuzaliwa ni miaka 22 ndio aminas noona amsubiri atoke jela ndio waje waoane
thubutu acha afungwe na mimi nitatafuta mtu mume mwengine ambaye hana tenzi dume (kwa sauti ya ...........)
au noona utamsubiri muje muoane mukiwa wazee wa miaka 43.

natania hii soju ya leo ni kali sana

하하하 하하하하 하하하 하하하하 하하하 하하하하​
hivi kwa wale waangaliaji wa sanaa za nchi nyengine zaidi ya korea raha kama hizi zipo?
kama zipo tupeane taarifa na sisi wakorea weusi tuzifuatilie.
BEdKMk.jpg

rPYTAw.jpg
kuna uwezekano mkubwa sana wa hii drama kumaliza kama queen for seven days, najua shujaa wangu grand prince jin yang atang'olewa madarakani na wapambe wa prince eun seong na mwisho wa siku itategemeana na maamuzi ya mfalme ajae amchukulie hatua gani dethroned king huyo.
jo sang wook atabaki kuwa ndiye muigizaji wangu bora kwenye drama hii hata kama nafasi yake ni second lead actor, uhusika wake ameubeba vile inavyotakiwa kuanzia facial expression na hata uwasilishaji wake wa maneno ni wenye kuvutia, naamini uzoefu alionao kwenye sanaa ya uigizaji unamfanya amwache mbali sana yoon shi yoon.
ni matuimaini yangu yoon shi yoon na waigizaji wengine wachanga watajifunza kitu kwa jo sang wook.
Khantwe noona hichi kinywaji umempelekea wewe au bajeti hairuhusu?
 
DbXenZsV0AEoUnY.jpg

mtu wangu hwi
(grand prince eun seong), ninapolitaja jina lako nalifananisha na mpote ulizo wa firimbi, kupenda kwangu kulitaja jina lako kumenifanya niishie kukupenda na wewe mwenye jina.

Mi Nitamsubiri Tuuh Sitoenda Kwa Mwengine Na Hii Roho Naomba Mola Wangu Aniongozee Uku Uku. Sina Sababu Ya Kumkimbia Mtu Sababu yuko Kwenye Mitihan Nikiwa Nami Ni Binaadam Yaweza Nikuta Kama Ayo..
 
ahsante sana kwa msimamo wako na Mungu azidi kukusimamia.
 
Acha uongo chingu. Ni dhambi!
hahahahahahahaaaaaaa unapaswa ukapimwe tenzi dume
nimecheka sana wakati nasoma hii comment.
dongsaeng umeandika utafikiri unatoka usingizini.
anakusalimia gream reaper wetu wa kwenye the miracle we met.
7009368_1553555312910948742843932990163206502088704n_jpeg3c0221d2926600d837bb620058064b2f
 
Kwaiyo Nawe Unakubaliana Nae!???
 
Kwaiyo Nawe Unakubaliana Nae!???
bahati mbaya sina uwezo wa kusoma kilichomo nafsini mwako.
kama nilivyoandika mwanzo ninapaswa kukutakia kila la kheri kwenye msimamo wako.
sidhani kama dongsaeng amedhamiria kukudhihaki kupitia comment yake ila alichokifanya ni kukusifia kutokana na msimamo wako wa kishujaa japokuwa hajaweka hadharani furaha yake, alichokitaka ndio kimekua kutokana na responding yako.
 
Hahahhahahhaha Damushin Umemaliza
 
DbYWUWaU0AEbays.jpg

Ukiacha Ao Maactress Wawili Ndo Wahusika Wa drama Kwa Kuangalia Kwa Tv ila Kuna Timu Kubwa hiyo inayoonekana Nyuma Ya Ao Wawili wanayofanya Kazi Kubwa Sana Ya Sisi Kutabasamu Kwa Tunachokiona

Hongera Zao Huu Ndo Mkazo Wa Kazi.
 
Back
Top Bottom