D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Han Ye Seul Shares New Photo Of Burn From Medical Accident
The actress first shared a photo on April 20 of a burn she received from a medical accident during a recent surgery.
The CHA Gangnam Medical Center then explained the situation through an official statement.
On April 23, Han Ye Seul posted another photo, revealing the seemingly worsened condition of the burn.
Her caption reads,
“This is a photo taken today. Really.. My heart is sinking..”
gwenchanah gwechanahSunbae,
Uwe unaweka na wasifu kidogo ili iwe rahisi kujua muhusika ni nani.
Kuna wengine majina yao ndio kwanza nayasikia leo.
Mfano:- Jang Hyuk (Chuno, Fated to Love, n.k), Lee Min-ho (City Hunter, The Heirs).
Pia ukilink jina kwenda kwenye external website/page yenye info/bio yake basi hakika itapendeza.
Huko peko yako, hyungnim. HihiHihii!Habari zenu nyote wana wa Korea.?
Mkuu Damushin Sunbae kuna uzi mrefu kidogo umeandika katika page ya 664 umenifanya nichagie japo maneno machache tu. Ujue hizi Korea Drama unaweza jikuta unaangalia kisha unaanza iga vile wana act mwisho wa siku utachekwa na jamii. Kwenye suala la mapenzi ndio balaa sasa vile vitu wanafanyiana unatamani ufanye ww lakin mwisho wa siku unakuwa katuni kwa watu hahahaa. Hawa watu achana nao kabisa, walikuwa isbabi ya mm kupata furaha kwa miezi kadhaa kisha hiyo furaha ikapotea. Hawa jamaa unaweza sema ngoja niwe kama fulani ukaishia kuonekana kama uchafu kwa watu. Hahahaa huwa nakumbuka miezi kadhaa nyuma naishia kucheka tu.
Good Job! Sunbae. Huyu nae ile tu kuona sura yake, nilianza kuifufua kumbukumbu kwa mbali lakini mara tu nilipoona "Temperature Of Love" nikajua ni yule hasimu. Nimekosea?Kim Jae-Wook offered a lead role in new OCN drama series “Hand” (literal title).
born
2/04/1983
Drama Series
- Temperature of love
- voice season 1
- bad guy
- kingdom of the wind = general chubalso
- coffee prince
- who are you
swadakta ndiye yeye.Good Job! Sunbae. Huyu nae ile tu kuona sura yake, nilianza kuifufua kumbukumbu kwa mbali lakini mara tu nilipoona "Temperature Of Love" nikajua ni yule hasimu. Nimekosea?
Mie nilikomaa kibabe hadi mwisho kwa ile style yangu pendwa ya Kichura chura (mwendo wa ku-skip)! Hihihii. [HASHTAG]#Hatarious[/HASHTAG]swadakta ndiye yeye.
mapenzi kumbe si utajiri, binti kapenda kwa jamaa aliyeajiriwa kwenye kampuni inayomilikiwa na mshikaji, kinachotokezea ni maumivu yasiokwisha.
duh temperature of love niliishia episode ya 21.
hahahahahaaaa mwendo wa nasaka mke wangu, mimi hizi drama zenye kuonyeshwa kwa nusu saa nyingi zilinishinda kuzimalizia.Mie nilikomaa kibabe hadi mwisho kwa ile style yangu pendwa ya Kichura chura (mwendo wa ku-skip)! Hihihii. [HASHTAG]#Hatarious[/HASHTAG]
Huko peko yako, hyungnim. HihiHihii!
Damushin sunbae,
Umeiangalia episode 7 ya "The Miracle We Met? Yaani ni full raha.
Zile character mbili sumbufu hatimaye zimedhibitiwa.
Kuna nyengine mbili (2) fungani bado zinafanya ep inadorora 'sababu zinapewa airtime kubwa wakati zinaboa kupitiliza.
Peace!
Daah! Umesema kweli, sunbae.hahahahahaaaa mwendo wa nasaka mke wangu, mimi hizi drama zenye kuonyeshwa kwa nusu saa nyingi zilinishinda kuzimalizia.
ndio maana niliamua kuachana nayo drama ya should we kiss first?
unajikuta unaangalia episode ya 20 kumbe kiuhalisia ni episode ya 10.