Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Duh! Nalitamani hilo file lako nilipate....niambie Mary stayed out ni nzuri? Ili niianze nikimalizana na Gu fam'
Thanks wangu itabidi nifanye hivyo nyimbo zao nazipenda sana...Ukiangalia drama flani ikakuvutia,
Wewe nenda zako 4shared type jina la drama hlf andika OST, mf. Faith ost,
Watakuletea list ya nyimbo zote za hiyo drama then sikiliza utakazozipenda una download.
Unajitahidi."Historical dramas" zote huwa zina mapambano makali kati ya wahusika wakuu, kama hao uliowataja. Ila zinatofautiana maudhui. "Age of Empires" na "King Geunchongo" zina simulizi na mapambano makali. Utazipata kwenye "website: http://koreanhistoricaldramas.hostingsitefree.com".
Uzuri wa " Korean historical dramas" ni mafunzo yaliyomo kuhusu utawala wa dola na jinsi watu maskini wanavyopambana na dola dhalimu.
hahahaha ahsante mkuu, kuna jamaa anaitwa kim bum soo ni shida kama umeangalia emperor of the sea nyimbo kama mbili kaimba yeye,kuna you went away,i miss you(bogo shipta) the promise,only you n.k na kuna kundi la kina dada linaitwa girls generation muna mdada anaitwa taeyon jaribu kuangalia athena,hong gil dong,gu family,utasikia sauti yake
Kama kuna mwenye video za hizo nyimbo ambazo zipo translated aseme plz, nahitaji kinomaaa!hahahaha ahsante mkuu, kuna jamaa anaitwa kim bum soo ni shida kama umeangalia emperor of the sea nyimbo kama mbili kaimba yeye,kuna you went away,i miss you(bogo shipta) the promise,only you n.k na kuna kundi la kina dada linaitwa girls generation muna mdada anaitwa taeyon jaribu kuangalia athena,hong gil dong,gu family,utasikia sauti yake
Nimezipata mkuumkuu mimi nina audio tu,jaribu kwenda youtube
Dah! Athena niliikubali mnoooo nikipata muda nitairudia...naungana na wewe Kim kwangu ni zaidi ya Lee sema tu lee nadhani amekuwa na mashabiki wengi sana. Kwa upande wa wanawake nani analipwa zaidi?hata mimi nililia na season 2 vile vile jamaa anakufa ila mwendelezo wa story inaendelea kwenye Athena goddess of war.watu wengi wanashindwa kutofutisha kati ya muigizaji hodari na yule mwenye nzuri.kwangu mimi kim so hyun ni zaidi ya lee minho kwa under ground korean celebrities
Sasa lile la slave hunter ndio hatari zaidi ya yoteAisee Lile la damdoek na murong xi ni balaaa! Lile la muhyool na dojin ni la kawaida coz dojin hakuwa matched na muhyool! Angalia slave hunter pambano la Song taeha na Wang!
Tree with deep roots ni nzuri sana....yani mtu unaemuamini sana kumbe ndio aduiNimeanza kuangalia Tree with deep roots,
Baada ya kumaliza Mary stayed out all night,
Lakini wapenzi mwenye full drama ya GOD OF TRADE plz anisaidie
Maana nimeishia kati wakati ndio inanoga.
Nampendaga sana yule jamaa tae ha anajua kuzitupiaIla ktk slave hunter yule adui aliwasumbua majamaa balaaaa!
Vipi kuhusu Lee dae gil?Nampendaga sana yule jamaa tae ha anajua kuzitupia
Yuko vizuri ila kwenye chunno tae ha kwangu ndo bestVipi kuhusu Lee dae gil?
Mkuu ulinambia nikutafutie zile nyimbo je nitawezaje kukurushia au kuzipost katika forumsIla ktk slave hunter yule adui aliwasumbua majamaa balaaaa!
Muhyul mnyama wa kingdom of the wind muv imechanganya tangu ep ya 5 dah ni bonge moja ya series ilifanya nikeshe cku 3 mfululizo... Hiv mkuu wap ntaipata slight shot ilikua inaomeshwa ITVHahahahahahaaaa garion anajifanya kuuza butcher kumbe yeye ndio jeon gi joon mkuu wa MILBON. Au kwa jina jengine wanamwita BONWON.