Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

mr sunshine drama
lee byung hun
baada ya miaka 9 amerudi tena kwenye ulimwengu wa drama.
unaikumbuka IRIS 1?
tofauti yake kiumri na muigizaji mkuu wa kike ambae ni kim tae ri ni miaka 20.
heshima kwako sunbae
inaitwaje hii mkuu
 
Tvn Kama Kawaida Yao,

Eti Dong Yi Ushaiona!?? @Damushi
ndio ila sikumbuki matukio yaliyomo ndani ya drama ya dong yi.
aigoooo labda ni kwa sababu shujaa wa drama hii ni mwanamke (natania tu)

 
Tvn Kama Kawaida Yao,

Eti Dong Yi Ushaiona!?? @Damushi
Total Variety Network (TvN) wapo vizuri sana hususan drama zenye maudhui ya rom-comedy
OCN wao wapo vizuri kwenye action, thriller drama.
  • jaribu kufikiria weekend hii imemaliza lawless lawyer ambayo lead actor alikuwa ni lee joon gi hivyo basi kuanzia jumamosi hii inaanza Mr sunshine ambayo lead actor ni lee byung hun sunbaenim.cha kufurahisha zaidi muandishi wa drama hii ni mwanamama kim eun sook ambaye ndiye aliyeandika drama kama vile goblin na descendent of the sun ambazo zote zimepata mafanikio makubwa mnoooo.
  • ikimaliza Mr sunshine drama week end ya mwezi november inafuata memories of alhambra drama ambayo ndani yake waigizaji wakuu ni hyun bin na park shin hye.
  • ikimaliza whats wrong with secretary kim drama ambayo waigizaji wakuu ni park seo joon na mwanadada mrembo park min young inafuata drama ya familiar wife ambayo muigizaji mkuu ni ji sung na han jin min
  • baadae inafuata hundred millions from the sky ambayo lead actor ni seo in guk na jung son min. Kiukweli tvn wanastahili pongezi
 
jamani sasa ndio nini hiki wanachotufanyia hawa wazee wa kubanwa na ratiba, yaani miezi minne tu ndio wameshachokana au ndio washajuana tabia zao za ndani na nje.
haiwezekani itakuwa kuna mmoja akilala anakojoa kitandani ndio maana wameamua kuachana.

Lee Dong Wook And Suzy Confirmed To Have Broken Up
JYP entertainment wamethibitisha ya kwamba wawili hao wameamua kuvunja mahusiano yao ya kimapenzi na sababu kubwa ni kubanwa na ratiba ya kikazi jambo linalopelekea lee dong wook na bae suzy kushindwa kuonana.
wawili hao waliweka hadharani mahusiano yao ya kimapenzi mnamo mwezi Machi.
aigooooo
im not sober

ngoja nitafute chupa ya soju na jajangmyon ili niendelee kujiliwaza na kipigo tulichokipata wajapani.
 
Song Hye Kyo And Park Bo Gum’s Potential Drama In Talks To Air On tvN
On July 3, reports stated that “Boyfriend” will be airing on tvN in December as a Wednesday-Thursday drama.
However, a source from tvN said, “We are in talks regarding whether or not ‘Boyfriend’ will be added to tvN’s programming. It has not been confirmed yet.”

“Boyfriend”
is about a woman who appears to have everything she could want and an average man who doesn’t have anything. The drama focuses on the question of whether it’s more difficult to give up wealth and honor or a normal lifestyle. The story is about the destiny of the man and woman who want to live a day in each other’s lives. Song Hye Kyo and Park Bo Gum are still in talks for the drama and have not confirmed their appearance yet.

kwa uoni wangu nadhani wanachokisubiri tvN ni kuona waigizaji hawa wawili kama watathibitisha kushiriki kwenye hii drama au kinyume chake, kama bo gum na hye kyo watakubali kushiriki kwenye drama ya boyfriend naamini tvN wataichukua hii project.
kwa nyakati hizi ni nani atakataa project ya song hye kyo na park bo gum?
labda TBC taifa ndio watakao kataa.

 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti anakojoa kitandani, nadhani bae suzy atakua na shida kiaina
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti anakojoa kitandani, nadhani bae suzy atakua na shida kiaina
upande mmoja wa sarafu upo sahihi ila kiupande mwengine inawezekana hawa wavulana kutoka mji wa SEOUL wanamuangusha kwenye ulimwengu wa mahusiano.
ngoja nisubirie hadi wafike wavulana 10 ndipo nijaribu bahati yangu kwa bae suzy.
 
Ukibahatisha usisahu kutununulia pork ribs na soju,aigoooo utakua matawi,ila nae si aende kwa ma sponsor hivyo viben 10 vinaharakati nyingi sana
upande mmoja wa sarafu upo sahihi ila kiupande mwengine inawezekana hawa wavulana kutoka mji wa SEOUL wanamuangusha kwenye ulimwengu wa mahusiano.
ngoja nisubirie hadi wafike wavulana 10 ndipo nijaribu bahati yangu kwa bae suzy.
 
Hahahahha Inawezekana, Ila Uliimaliza?? Na Ipo Kwenye Historia?
kumbukumbu zangu zinaniambia sikuiangalia hadi mwisho na hata sifahamu hata nilifika episode ya ngapi.
ni historia ya kweli inayomuhusu malikia suk bin choe (17 December 1670 – 9 April 1718) ambaye alikuwa ni miongoni mwa wake wa mfalme sukjong wa joseon.
baada ya kufanikiwa kumzalia mfalme mtoto wa kiume akapewa cheo cha sukbin na mtoto huyo baadae ndiye mfalme yeong jo ambaye alikaa madarakani kwa miaka 52 na ndiye mfalme aliyeiongoza joseon kwa muda mrefu zaidi.
alitokea kwenye makabila yasiokuwa na heshima yoyote jambo lililopelekea kuwa mtumishi wa royal palace kuanzia alipofikisha miaka 7.

royal gambler drama (jackpot) na jang ok jung drama pia wame potray uhusika wa suk bin.
 
Ukibahatisha usisahu kutununulia pork ribs na soju,aigoooo utakua matawi,ila nae si aende kwa ma sponsor hivyo viben 10 vinaharakati nyingi sana
ㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋ
하하하하 하하하하
gwenchanh gwenchanah,
hawa wakorea wana utamaduni wa ajabu sana yaani utamkuta mtu hachelewi kumwambia mwenziwe nitakununulia chakula au kinywaji wakati huku kwetu offer ya kununuliwa paketi ya diamond karanga huipati.
au hamjashuhudia tukio kama hilo munapoangalia drama?
shikamoo wakorea.
hivyo basi usijali nitakununulia pork ribs, soju na bakuli moja la jajangmyeon.
hii drama ya wok of love wanapigia promo sana hiki chakula cha jajangmyeon, nathubutu kusema episode zote chakula hiki kimepikwa.
sijui na huku kwetu ugali unaliwa kwenye bongo movies za mandhari ya kitajiri?
 
Wooooo Yaani Ulivyoiandika Iyo Wok Of Love Nilitamani Nikurukie Ndo Naiangalia Hapa Na Iyo Jajangmyeon Ndo Wanaila Yaani Nikajikuta Tabasamu Limechomoza Tuuh.

Hii Drama Kama Ujala Usiangalie Maana Hmmm!
 
Ntamanigi Nikionje Sijuh Nitakipata Wapi! Kwa Macho Kinavutia
 
Na Kimchi
 
Uhm Ki-joon reunites with Defendant team for new SBS medical drama
The actor has been confirmed to appear in the upcoming SBS drama “Thoracic Surgery” (working title) where he’ll appear as a skilled thoracic surgeon. A thoracic surgeon is a doctor who operates on the organs in the chest such as the heart, lungs, and esophagus.
The subtitle of “Thoracic Surgery” is “two lives, one heart” and will be about a desperate thoracic doctor who faces a dilemma.

This new medical drama will be directed by Jo Young Kwang and written by Choi Soo Jin and Choi Chang Hwan, who previously worked together on the 2017 hit drama “Defendant.” Uhm Ki Joon also appeared in this drama where he played both twin characters Cha Sun Ho and Cha Min Ho who have opposite personalities.
For his newest role, Uhm Ki Joon will portray Choi Suk Han, a thoracic surgeon with the best skills who isn’t treated well because he graduated from a local university. After receiving an opportunity for success, he makes a different decision than his close colleague Tae Soo (played by Go Soo), and the two will be pitted against each other.

huyu jamaa kwa hali inavyokwenda atageuka na kuwa shetani, haiwezekani kila siku anaigiza nafasi ya ukorofi. kipindi naangalia indian movies kulikuwa na mzee huyu ambaye kwa sasa ni marehemu.
always villain mpaka anakufa ni villain character.
 
Mi Ndo Nipo Ya Kumi Naivutia Kasi Iyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…