DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
kwa sababu ya JF au kuna sababu nyengine noona?Yaani Nimejikuta Natabasamu APA mpaka Jino la mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa sababu ya JF au kuna sababu nyengine noona?Yaani Nimejikuta Natabasamu APA mpaka Jino la mwisho
daebakNow watching Moon Lovers: Scarlet Heart Ryeo [emoji12]
Aisee hii ni kali sana ipo tofauti sana na zingine na uwezi ku predict kinachofatadaebak
moja kati ya best historical drama.
![]()
R.I.P jo min ki
aliamini njia pekee ya kuondoa aibu kutokana na matendo yake maovu ni kujitoa uhai, humu ndani ameigiza nafasi ya mfalme wang guhn.
EXO katika ubora wao
http://kissasian.ch/Drama/Modern-FarmerAny comedy Korea drama nzuri nipen update nataka nijichekeage peke yangu kama Waikiki...
Jf Tuukwa sababu ya JF au kuna sababu nyengine noona?
Hahahaha Ayo Maelezo Tuuh, Unaanza Chekahttp://kissasian.ch/Drama/Modern-Farmer
![]()
full comedy mpaka mwenye nyumba atakufukuza kwa kucheka ovyo
Modern Farmer - AsianWikiHahahaha Ayo Maelezo Tuuh, Unaanza Cheka
Asante mkuuhttp://kissasian.ch/Drama/Modern-Farmer
![]()
full comedy mpaka mwenye nyumba atakufukuza kwa kucheka ovyo
mpendwa nisaidie movie kama hizi napataje?mr sunshine drama
lee byung hun
baada ya miaka 9 amerudi tena kwenye ulimwengu wa drama.
unaikumbuka IRIS 1?
tofauti yake kiumri na muigizaji mkuu wa kike ambae ni kim tae ri ni miaka 20.
heshima kwako sunbae
![]()
Ingia dl.ifkore.us , then utaingia Korean series , utachagua mwaka iliyotoka then ukiiona ingia, utakuta episodes zote ni wewe tu hapompendwa nisaidie movie kama hizi napataje?