Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

  1. hivi kwenye maisha yako imeshawahi kutokezea umechumbiwa na rafiki yako wa kiume ukamkatalia?
  2. kwenye maisha yako imeshawahi kutokezea umempenda rafiki wa kiume ila yeye akakukataa?
Kwaiyo Umeamua Kutumia Maandishi Makubwa Ama!??
 
Sikujua kma ili Dongo langu
 
Komasimitaaaaa, sungwaomitaaaaa...

Kwanini wakorea D na T, K na G zinasound the same. Mfano unaweza kukuta sehemu mtu anatamka Sa"D"o alafu sehemu nyingine ukasikia sa"T"o. Au "G"isaeng na "K" isaeng. Na kwanini S ina sound kama 'SH'
 
inamaana na wewe ni miongoni mwa wanaosubiri kushikilia nafasi ya hwang bora?
tokea lini umeanzisha ajenda hiyo?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Lol!!!! Mieeeee tangu Lin!???

Mi Nimejisemee Tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…