duh msiba tena?Eeh LA kwanza mpaka nataka nilazimishe wanawezaje kushikana mikono kipindi chote hiko. LA kwako? Pole na msiba
Ahjumma ndio kakataduh msiba tena?
aigooooo aliyefariki ni ahjussi au ahjumma?
inamaana mpango wa ndoa ndio umefeli.
masikini wale wazee wawili hawana shida na mtu yoyote.
sad ending
Yah kuku walononahebu nikumbushe uyo jumo ndio yupi?
au yule dada anayeuza supu ya kuku aliyenona
😡ahsante sana Mungu azidi kukuongezea baraka.
hii itakuwa ni offer ya tatu umenipa ila bado nasita kupokea offer zako mpaka itakapotimia offer ya 10000 ndio nitaipokea.
bado 9700.
hwaiting
Aja aja
Same here...[emoji3] [emoji3] [emoji3]Utamu wa vikorea uwe na simu yenye nafasi(GB)kubwa. Kisha kuwa na dramania au dramanice etc halafu bando la kutosha napendelea ofa ya halo night gb 10 kwa 1500. Just unaclick movie uipendayo episode kama zote ili mradi gb ya simu inatosha kama haitoshi unasubiria inaanza jaa unahamishia pengine maisha safi kabisa.
Tafuta IDM iliyo Cracked.Mimi nikidownload natumia chrome yaani nikidownload ep km 5 au 10 kwa pamoja huwa zina download kidogo zinajifunga yaani hata nikisema moja moja its the same case. Natumia dramafire. Msaada jamani natumia laptop sio simu.
when a man loveSijaangalia Nini?
Unamaanisha?when a man love
Hii ndo Tunayoangalia Tulowengi Umu Nahisi!Mi mgeni kabisa jukwaa hili, vipi hakuna series nyingine nzuri inayo-trend mwaka huu
Maana nimefuatilia uzi asilimia kubwa stori ni Mr. Sunshine tu. Wafuatiliaji wazuri wa Korean drama mtujuze na zingine basi.
Hivi park shin hye sini mwanamziki nayeye pia anacheza drama?
Naanza Kuangalia Hii Drama, Japo Nimekuwa Na Tabia Yakutozimalizia Medical Drama Mpka Mwisho Nilofanikiwaga Kuimaliza ni Doctors Ya Kim Rae Won na Park Shin Hye. Natamni Na Hii Nifike Nayo Mbali kama Siyo Mwisho
daebak (bingo)Nini epispde 10,huwa natenga siku maalumu navuta episode hata 50 kwa mkupuo mmoja
daebak (bingo)
inaonekana hupendi sana kunywa soju ila siku unayoamua kunywa wanakijiji wote wanalalamika, cha ajabu wao wanalewa kila siku.