Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Unaanza Na Haya Maneno Yako Muone Vile ndo Nini Sasa!

Kama Kweli Vile!!
 
Sitaeza Kuja Kukusahau Nashukulu Huwaga Naiyo Hulka.

Kuna Kitu Flani Ivi Ulikihamasisha Ndani Yangu Na Hichi Ndo Kitakachonifanya Nisiweze Kukusahau Kamwe! InshaAllah Mola Atimize Yale Yaliyomoyoni Mwetu Amiin

Uzidi Kudumu Apa Na Pale Kwa Baraka Zake! Karibu Tena Na Tena Kwa Hali Yeyote Utakapojihisi Amani Kuongea Nami Nipo Pale U Know.
 

Kuanza Na Sunshine ni Imekuwa Sad Ending, Eugene Choi, Dong Mae na Hui Seong Wote WameRIP Na Kudo Hina Pia
Alobakia Kati ya Wale Malead Ni Ae Sin Tuuh Labda Tuseme Apo Ndio Glories

Terrius Behind Nipo Episode Ya 2 Sijaimaliza Ila Inaonekana Ipo Vizuri Inaanza Na Mauaji! Na Stori Ilojificha Flani Ivi Ila Iko Poa Labda Nitaiju Vizuri Niikiimalizia Episode Hii Ya 2

100 Days Episode Hii Ya 7 Bado Sijaiona Kwaiyo Sijajua Ipoje

Bad Papa Nayo Bado Sijaiona, Bado Sijajua Kama Nayo Ni Yakukimbiza!
 
Happy Birthday Song il Kook japo nimechelewa sana kukutakia hizo salamu sababu ya majukumu.
 
Ana project yoyote karibini?
 
BAD PAPA DRAMA
kampeni yangu ya mwezi oktoba nimeianza na drama inayoitwa bad papa muda huu.
kwa wale tunaokutana na changamoto ngumu za kimaisha na kufikia hatua ya kufanya maamuzi magumu kwa miili yetu ilimradi mkono uwende kinywani basi hii drama inatuhusu.

Yoo Ji-Cheol hapo mwanzo alikuwa mpiganaji mahiri wa ulingoni(boxer) lakini ghafla anajikuta anapoteza kila kitu kwenye maisha yake, baadae anaajiriwa jeshi la polisi na hatimaye anafukuzwa kazi
maisha ya nyumbani kila wakati ni mwendo wa kelele kutoka kwa mke wake na hatimaye jamaa anaamua kufanya kazi chafu ilimradi nyumbani kwake awe baba bora.
jamani aliyevumbua pesa hakututendea haki sisi masikini.
team jang hyuk jamaa yenu amerudi akiwa mpiganaji wa ulingoni bila ya kusahau kicheko chake.
huu mwezi oktoba wakorea wametufanyia uhuni uliopitiliza leo hii nimepakua drama
mpaka nimechoka na bado sijazimaliza cha ajabu zote ni za wiki hii
  1. Watch Bad Papa Episode 1 online at Dramanice
  2. Watch Bad Papa Episode 2 online at Dramanice
kwenye ulimwengu huu kuna wajinga watatu ambao hawawezi kuficha vitendo vyao vya kijinga nao ni mpendaji, masikini na mkorofi (jang hyuk bad papa quote)
scalethat
.
 
Asante mkuu.naomba nikae mkao wa kuminjoy jang hyuk wng
 
The Player (Korean Drama)
OCN action drama katika ubora wao
hahahahahaaaaaaaa imenilazimu nianze na kicheko cha jang hyuk sunbaenim.
hivi kuna yeyote aliyewahi kutapeliwa kitu chochote?
baada ya kukutwa na balaa hilo ulijisikiaje?
hii drama nimeianza kuiangalia alfajiri ya leo na humu ndani muna kikundi cha watu wa nne ambao wanafanya kazi ya kutatua kesi za kihalifu kwa njia ya utapeli na ujanja ujanja.

song seung hun : rafiki yake mjr95 , hahahaahaaaa huyu panya ana maneno matamu kuliko asali ya asubuhi, ukijiingiza kijinga jinga amekuramba na ndiye mkuu wa kikosi.
krystal : huyu dada njia pekee ya kuepukana na balaa lake ni kutokujaribu kumuomba lifti, ni bora uwende safari yako kwa miguu kuliko kupakiwa na huyu dada.
lee si un: mtaalamu wa computer aliyebobea, jamaaa amebobea kuvunja financial security system (hacker wa ukweli).
tae won seock: kibonge mtemi, ni bora ukutane na faru khadija unaweza ukapambana naye na ukaambulia droo lakini kwa huyu jamaa draw yako ni kulazwa ICU.
  1. Watch The Player (2018) Episode 1 English Subbed online at K-vid
  2. Watch The Player (2018) Episode 2 English Subbed online at K-vid
 
Nisha I download hii Dramania weekend hii nitaianza nikimaliza Money flower
 
Dramanice pia ni nzuri yenyewe haina haja ya kufownload application. Just google itakuja ingia humo vuta movie uipendayo
Nisha I download hii Dramania weekend hii nitaianza nikimaliza Money flower
 
Dramanice pia ni nzuri yenyewe haina haja ya kufownload application. Just google itakuja ingia humo vuta movie uipendayo
Ooh ok ngoja niicheki maana kuna movie km the land of wind sijui kingdom of wind naitafutaga dramani siioni
 
Happy Birthday Song Seung Heon, wish you all the best. Always support you. Ila nisamehe kwa kuchelewa kukupa hizi salamu, ni kujikuta tuko busy na maisha tu.
 
Rafiki yangu mpendwa Song Seung Heon kaja na kitu kitamu zaidi ya asali. THE PLAYER bonge la drama, action za kumwaga. Kama kawaida huwa sitizami Ongoing drama ila kwa hii itanibidi.
 
Hivi aminas anaweza kuendesha gari kama huyo mdada?? Hahahaha nawaza tu maana sio kwa uendeshaji ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…