Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hongera kwa Mwaka mwengine Tena Babuu.
 
Leo Badae Nakutakia Ushindi.
 
Kuna Sehemu Nilisoma Maoni ya Mashabiki Kuwa Bo Gum Yuko Awkward.

Labda Sababu ya Heshima Alonayo kwa Joong Ki.

Ila Muda mwengine Namuonaje Sijuh

Ila Kyo Ni Boonge La Mwanmke Katika Kazi Kwengine sijuh.
 

Attachments

  • 1544958613228.png
    265.6 KB · Views: 33
Kuna Sehemu Nilisoma Maoni ya Mashabiki Kuwa Bo Gum Yuko Awkward.

Labda Sababu ya Heshima Alonayo kwa Joong Ki.

Ila Muda mwengine Namuonaje Sijuh

Ila Kyo Ni Boonge La Mwanmke Katika Kazi Kwengine sijuh.
kutabasamu kwake imepitiliza,
final episode ya 5 hakupaswa atabasamu zaidi ya sekunde 40 na hilo ndio tatizo nililoliona.
inaonekana ndio style yake na hata ukiangalia moonlight drawn by the clouds ndio hivyo hivyo.
kiupande wa pili stori imeanza kuchanganya.
 
Now Sina PC Nakosa Picha Izi Dah!!

Ndomna Naonaga Sa Engine Jau Kukomnt Na Simu Umu Ndomna Nakuwa Mpenzi Msomaji.

Ila Bby Nimemtuma Dah!

Sa Ivi Nimeamia Kwa Hyun Bin Ma New Boo.
 
Ahsante! Muda Mwengine Ahjussi Unaakili! Hahahaha!

Bo Guum anazingua Sana Na Kucheka Cheka Kwake! Labda Ni Utofauti Ma Director Wanaoutafuta Lakini Inabidi Aupe Kiasi.

Nilionaga Hata Mule Kwa Moonlight Ndomna Aikuwa Kipaumbele Kwenye Drama Zakipindi Kile Nilizokuwa Naangalia.

Hata Sa Ivi Inanibidi Niimalize kwanza Last Empress ndo Niangalie Hii!
 
Anha! Nilisahau Jasusi.
Hahahaha!

Nami Ntafika uko ila Uoga wa Bahari!

Napenda Maji Ila Sipendi Safiri kwenye Maji!
hahahahaaaa mwenzio baada ya muda mrefu ndio nimeanza mazoezi ya kuogelea, nipo mafichoni najifua kama mikia FC.
nina mwaka wa 10 sijasafiri kwa njia ya bahari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…