Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimeimaliza Hymn of Death Muda Si Mwingi.

Nikjikuta Nasema Mapenzi ( Mahusiano) Acha Yaishi Tu! Ivi Vitu Sivyo Kabisaa

Ila Walichukua Uamuzi Mgumu Sana Kuumaliza Uhai Wao Vile..
 
hahahahaaaa mwenzio baada ya muda mrefu ndio nimeanza mazoezi ya kuogelea, nipo mafichoni najifua kama mikia FC.
nina mwaka wa 10 sijasafiri kwa njia ya bahari.
Yaani Wewe Umeamka Na Simba Leoo!!
Muone Vileee.
 
Nimeimaliza Hymn of Death Muda Si Mwingi.

Nikjikuta Nasema Mapenzi ( Mahusiano) Acha Yaishi Tu! Ivi Vitu Sivyo Kabisaa

Ila Walichukua Uamuzi Mgumu Sana Kuumaliza Uhai Wao Vile..
jambo muhimu kwa binadamu si kuwa na fedha bali kuwa na uhuru wa kuweza kujiamulia mambo yake yote yatakayomletea furaha ndani ya nafsi yake.
msongo wa mawazo mfu ndio yalipelekea wayamalize maisha yao kwa njia ngumu.
mwanamme hakutaka kuishi akiwa nyuma ya kivuli cha baba yake na mwanamke hakutaka kuishi maisha ya kuutumia mwili wake vibaya kama ni chanzo kikuu cha ukombozi wa familia yake na kuzidi kuizamisha nchi yake.

ile project ingelikuwa ni ndefu ingelizidi kuwa maarufu.
 
Kwanini Hawakuifanya Ndefu!?

Mi ndomna Huwa Nakuaje Sijuh! Sababu Hii Kutaka Kuishi Nyuma Ya Kivuli Cha Mtu.

Ndo Naona Hata Maisha Ya Celebrity Wengi kwenye Hii Dunia! Maisha Yao ndo Kama Haya.
 
Hahahaaah hongera mkuu kwa kutimiza miaka 3 ndani ya JF.
Na asante sana kwa kuniona kuwa mmoja wa wadau wa thread hii. Huwa naangalia siku za wikendi ninapotulia home kama leo, na zaidi napendelea zile drama zilizokamilika. Na humu katika thread hii ndio ninapopata drama za kuangalia. Na zaidi humu sijawahi kuangushwa.
 
ahsante sana brother, tupo pamoja
 
Nampenda huyu dah, moyo umenilipuka kuona hi pic lol
 
Yani napenda ongoing lakin sasa nlikaa two weeks sasa nikaanza kutizama comments kuanzia ilipoishia where stars land wamenikatisha moyo mweh... Naombeni zingine nishiharibu bundle. Nimemaliza bad Papa [emoji24]
 
Pongezi zangu za dhati zenda kwa crews/teams nzima za hizi KDramas, hakika wamezitendea haki hadi sasa zilipofikia (episodes). (Well Done!)
The Last Empress
Less than Evil
Feel Good to Die

Na kwa sababu tofauti, nimeamua kuishia njiani/kutozifatilia hizi dramas... (Wakajipange!)
Children of Nobody
A Pledge to God
Clean with Passion for Now
Encounter
Fates & Furies
Fluttering Warning
The Smile Has Left your Eyes
Mama Fairy and The Woodcutter
When Time Stopped
Where Stars Land
Memories of the Alhambra
The Player

Ps:- Ni maoni 2..
 
Huuuuuu
Whattttt

Yaaani Wewe BinAdamuuu..

Ulivyo Mbaya Sasa Unarudi Hata Tag Jamaniii...
 
Eeeeh Chinguya Lol!!!
 
my girlfriend is gumihon kwanq mim ndio ya pili, series ya kwanz ni love rain. sijabahatik kuanqalia nyinqine zaid ya hizo
 
Mkuu, Drama Ya The Player wakajipange..!!???

Oohh umesema ni maoni, basi sawa.
 
Ma Shaa Allah.
 
Last Empress Inazidi Kuvunja Rekodi Tu

Inastahili Kiukweli.

Wakorea Kona Nyengine Nayoipenda Ni Jinsi Wanavyowatrain Hawa Waigizaji Watoto.
Princess Ari Ni Chuma Chengine.
 
MBC Announces Daesang Nominees Of 2018 Drama Awards
  1. So Ji Sub = terius behind me drama (nilibahatika kuifuatilia)
  2. Kim Sun Ah = children of nobody drama (sijaiangalia)
  3. Shin Ha Kyun = less than evil drama (naendelea kuifuatilia)
  4. Lee Yoo Ri = hide and seek drama (sijaiangalia)
  5. Jung Jae Young = partners for justice drama (sijaiangalia)
  6. Chae Si Ra = good bye to good bye (sijaiangalia)
utoaji wa tunzo ni December 30.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…