Ameacha Now Kusmile! Rudi Iangalie Tena.Nimeishia episode ya 2 dk 30 za mwanzo...
Bo-Gum anaboa kishenzi! Muda wote yeye ni ku-smile 2.
Inaondoa uhalisia kwa kweli!
Msalimie Sana Uyo Mtu...Sana YaaniHilo neno "Etiii" limenikumbusha mbali sana kuna mtu wangu wa karibu alikuwa akipenda sana kulitumia, hasa katika maongezi yake. Aisee umenikumbusha mbali sana.
Msalimie Sana Uyo Mtu...Sana Yaani
Nasamahni Kwa Kukumbusha.
ok kumbe tatizo neno daesang?Nimesema Sielewi Izo Tunzo za Daesang Zinamaanisha Nini Ahjussi.
Kama ameacha basi nitasonga mbele.. πAmeacha Now Kusmile! Rudi Iangalie Tena.
Inaenda Kuzuri Sa Ivi.
Mi Nikajua Drama Nzima Ni Mbaya!
Hm! Kujishaua Tu.Kama ameacha basi nitasonga mbele.. π
ok kumbe tatizo neno daesang?
nilifikiri hufahamu MBC drama awards.
samahani dear.
Daesang = Grand Prize = msanii bora wa mwaka husika.
kwa mfano mwaka uliopita MBC drama daesang award alishinda mzee kim sang joong kupitia drama inayoitwa rebel thief who stole the people, nakumbuka wewe ndio ulikuwa MC wetu humu ndani
Nimefanyaje!??[emoji23][emoji23][emoji23] Muone.
ukitununulia pweza kwa njia ya keyboard tumesharidhika.
wala si uzee bali SIMBA SC wanamjazia server yake ya ubongo.Kaisha sahau kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila msamehe huenda mambo mengi kichwani na uzee pia, Natania.
πππKaisha sahau kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila msamehe huenda mambo mengi kichwani na uzee pia, Natania.
ni ngumu sana mlevi kuacha kutumia pombeKama ameacha basi nitasonga mbele.. π
Unaanza Siyo!! Nawewe Ningekuwa Karibu Ningekupa Booongee La Keleeebuu.ukitununulia pweza kwa njia ya keyboard tumesharidhika.
nkana FC wameshafika Dar?
kabla hujaondoka nisaidie cracked idm.πππ
Hahahaha Aeleweki Mzamiajiiii.kabla hujaondoka nisaidie cracked idm.
kama natumia chrome version mpya nawezaje kuweka idm extension kama haijakaa automatic?
Anaanzaje Kuachani ngumu sana mlevi kuacha kutumia pombe
ukimkuta kwenye mchuzi bora umtoe unywe maji matupuHahahaha Aeleweki Mzamiajiiii.