Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Ameacha Now Kusmile! Rudi Iangalie Tena.Nimeishia episode ya 2 dk 30 za mwanzo...
Bo-Gum anaboa kishenzi! Muda wote yeye ni ku-smile 2.
Inaondoa uhalisia kwa kweli!
Inaenda Kuzuri Sa Ivi.
Mi Nikajua Drama Nzima Ni Mbaya!