Kacheza Kikatili Sana Mule..Actor of the Year picked by MBC's PDs (producing directors)
kama kawaida mzee mbishi Heo Joon Ho kupitia "Come and Hug Me" ameshinda tunzo hii
hongera kwake halabeoji mtarajiwa
View attachment 981213
Waaaamshindi wa tunzo ya Grand Prize kwa mwaka 2017 mzee Kim Sang Joong amemtangaza So Ji Sub kama ni mshindi wa tunzo ya Grand Prize kwa mwaka 2018.
View attachment 981340
hongera kwake nimependa nose kiss, so ji sub aliahidi kama atashinda tunzo ya daesang basi atakifanya hiki kitendo, kwa aliyeangalia terius behind me drama kuna nyakati Kang Ki Young alimuomba so ji sub wakafanye hiki kitendo
View attachment 981341
Umeniwah Nilitaka Kuquote Sasa Hivimuda mfupi ujao sherehe zitaanza.
Ila Mi Yakwangu Haitaki Kufunguka!muda mfupi ujao sherehe zitaanza.
ndio, ila live video mpaka uwe na huduma ya viki.
Shukrani nadhani tumeingia ukumbini mna sahihi.muda mfupi ujao sherehe zitaanza.
Kwanini Viki Inakataa Kuonyesha!ndio, ila live video mpaka uwe na huduma ya viki.
Hii Ishu Ya VPN Alishawah Nielekeza Ila Nikimuomba Tena Hmm! Itakuwa Hatarisina uhakika sana kwa Tanzania nahisi mpaka uwe na VPN.
kwa ufupi uwaibie huduma kwa kuificha ip address yako.
EMPTY dongsaeng ana uelewa mkubwa sana wa ishu hizi.
Aichukuhi Hii!!KBS drama awards
kuna uwezekano mkubwa My Only One drama ikawa ndio best drama kwa mwaka huu, na kama itatokezea hivyo kwa mwaka wa pili mfululizo itashuhudiwa family drama zikibeba tunzo ya daesang.
episode za wiki iliopita zilifikia national 36% kwa kuangaliwa na wakorea wote nchini kwao.
View attachment 981961
Nabeti na Black Knight au Are u Human too!KBS drama awards
kuna uwezekano mkubwa My Only One drama ikawa ndio best drama kwa mwaka huu, na kama itatokezea hivyo kwa mwaka wa pili mfululizo itashuhudiwa family drama zikibeba tunzo ya daesang.
episode za wiki iliopita zilifikia national 36% kwa kuangaliwa na wakorea wote nchini kwao.
View attachment 981961