Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Lakini mwaka jna tulikuwa tunaangalia LIVE

Inkuaje mwaka Huu Wanatubania.
 
Jang Nara Wa Last Empress Mara ya Mwisho Kuwa kwenye SBS Drama Awards ni mwaka 2002 Duh!
 
Yaani Hii Simu Nayotumia Mungu tu Anajua Yaani!
Natamni Niibatue Chini Laa!!
 
Kwa Best Child Actress Imeenda kwa Kim Hwan Hee

ametokea Kwenye Drama Ya Miracle We Met.
 
KBS wameanza na Male Best Child Actor Award

mshindi ni fundi Nam Da Reum kupitia Radio Romance drama.
mara paaap na SBS drama awards anabeba tunzo.
hongera kwake


kwa upande wa wasichana
mshindi ni Kim Hwan Hee kupitia The Miracle We Met drama
hongera kwake
 
Kwa SBS Drama Award Imeanza Na New Actor and Actress
 
Waloangalia 30 But 17 Uyu Jamaa Watakuwa Wamemuona

Kachukua New Actor Kutoka SBS Drama Awards Anaenda Kwa Jina La Ahn Hyo Seop

Mii Hii Sikuiangalia.
 
Kwa New Actress Imeenda Kwa Lee Yoo Young Wa Drama Ya " your Honor"

Hii ni SBS Drama Awards Kwa Tuzo Yao Yakwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…