Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Waloangalia 30 But 17 Uyu Jamaa Watakuwa Wamemuona

Kachukua New Actor Kutoka SBS Drama Awards Anaenda Kwa Jina La Ahn Hyo Seop

Mii Hii Sikuiangalia.
haki yake kushinda


kwa wanawake huyu ndiye Lee Yoo Young mshindi wa tunzo hii kupitia YOUR HONOR
 
KBS
Best New Actor Award winner ameshinda Park Sung Hoon kupitia black knight drama,pamoja na Kim Kwon kupitia Marry Me Now,
amewashukuru watu wake wa karibu pamoja na timu nzima aliyofanya nayo kazi.

Best New Actress

washindi ni Park Se Wan ("Just Dance") na Seol In Ah ("Sunny Again Tomorrow")


Park Se Wan : ameanza kwa kushukuru kwa kuweza kukutana tena na waigizaji wote waliofanya kazi kwa pamoja. amewashukuru staff members, directors, agency people, parents,manager.wake.

Seol In Ah : amefurahi sana kushinda tunzo hii, anasema mama yake alimwambia asijiwekee matarajio makubwa kama atashinda tunzo hii.
hongera kwao
 
Male Supporting Character Awards kwa SBS Imeenda Kwa Kim Won Hae wa Ghost Detective Na In gyo Jin Wa Feel good to die
 
SBS drama
Shin Sung Rok (hayupo pichani), Bong Tae Gyu, Park Ki Woong, and Yoon Jong Hoon wameshinda Best Character for their evil acting in "Return
 
In gyo Jin Hajawah Shinda Tuzo Yeyote Kwenye Uigizaji Wake Whattttt!!

Huyu Baba Kila Darama Yupo Yeye
 
Female Supporting Character Awards Kwa KBS Imeenda Kwa Kim Hyun Soon Kutoka Are U Human Too Na Too Jin Yi KutoKa My Only One
 
SBS
Best Supporting Actor ameshinda Im Won Hee kupitia WOK OF LOVE, anasema ni mara yake ya kwanza kushinda tunzo ya uigizaji
 
SBS
Woyooooo Best Supporting Actress ameshinda Ye Ji Won kupitia 30 but 17
call me jeniffer
 
Yaani Hii Browser Nayotumia Nikitoka Kuingia Kwengine Nikirudi Naanza Upya
Nashindwa Kuelewa Ni Simu Mbovu Ama Browser ndo Mbovuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…