ngoja nijaribu kwa njia ya simu kama nitakutana na tatizo kama la kwakoYaani Hii Browser Nayotumia Nikitoka Kuingia Kwengine Nikirudi Naanza Upya
Nashindwa Kuelewa Ni Simu Mbovu Ama Browser ndo Mbovuu
Ebu Jaribu! Hili Hii Simu Iponengoja nijaribu kwa njia ya simu kama nitakutana na tatizo kama la kwako
Nikajua Wale Wajuu Ndo Wameshinda Ila Awajawa Pamoja Bado..SBS DRAMA AWARDS
The Last Empress" couple Jang Na Ra na Choi Jin Hyuk a.k.a mchumba wa 5 wa mwanadada Khantwe ndio watakaomtangaza mshindi wa tunzo ya Best Couple.
View attachment 982051
Kam Woo Sung ahjussi na Kim Sun Ah ahjumma ndio washindi wa tunzo ya best couple kupitia drama inayoitwa should we kiss first?
View attachment 982052
amenifurahisha huyo ahjussi, aliposema mara ya mwisho aliposhinda tunzo ya best couple ni mwaka 2005 kwenye movie inayoitwa the king and the clown akiwa pamoja na lee joon gi.Nikajua Wale Wajuu Ndo Wameshinda Ila Awajawa Pamoja Bado..
Mwaka Wa Ma Ahjumma Na Ahjussi Tu Huu
Eeeh Hongera Zao
Hahahaha!amenifurahisha huyo ahjussi, aliposema mara ya mwisho aliposhinda tunzo ya best couple ni mwaka 2005 kwenye movie inayoitwa the king and the clown akiwa pamoja na lee joon gi.
kumbe jinsia moja munaweza kushinda best couple?
View attachment 982065
Kawa Mzee Sana Duuh!KBS
Female Excellence Award in Serial Drama Award ameshinda mwanamama Ha Hee Ra ambaye ni mke halali wa choi soo jung ahjussi.
choi soo jong ndiye muigizaji wa kiume anayeshikilia rekodi ya kubeba tunzo tatu za KBS daesang
View attachment 982073
enzi zileeeeeee za wahenga, ayo mavazi ya maharusi mhhhhhhhhh
- emperor wang gun = 2002
- emperor of the sea = 2004
- king dae jo young = 2006
Shera la Namna Yake Maua kaa Yote.KBS
Female Excellence Award in Serial Drama Award ameshinda mwanamama Ha Hee Ra ambaye ni mke halali wa choi soo jung ahjussi.
choi soo jong ndiye muigizaji wa kiume anayeshikilia rekodi ya kubeba tunzo tatu za KBS daesang
View attachment 982073
enzi zileeeeeee za wahenga, ayo mavazi ya maharusi mhhhhhhhhh
- emperor wang gun = 2002
- emperor of the sea = 2004
- king dae jo young = 2006
2005 DuuH, Kipindi Iko Ndo Naenda Nyanda za Juu kaskazin.amenifurahisha huyo ahjussi, aliposema mara ya mwisho aliposhinda tunzo ya best couple ni mwaka 2005 kwenye movie inayoitwa the king and the clown akiwa pamoja na lee joon gi.
kumbe jinsia moja munaweza kushinda best couple?
View attachment 982065
wacha weeee2005 DuuH, Kipindi Iko Ndo Naenda Nyanda za Juu kaskazin.
Hahahaha!
kwi kwi kwi nakwambia bibi harusi wa sasa ukimpelekea vazi hilo atalipigia deki.Shera la Namna Yake Maua kaa Yote.
kazaliwa mwaka mmoja baada ya tanganyika kupata uhuru, mke wake amezaliwa 1969.Kawa Mzee Sana Duuh!