Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 897
- 1,929
Dae Jo Young naujua moto wake vizuri ila King Gwanggaetto the Great ni ya Kibabe zaidi.Kuchukua actor wengi walio shiriki katika Drama ya King Gwangaetto sio tatizo. Hapa tunaongelea ubora wa wa drama husika. Unaweza fanya vibaya kwenye King Gwangaetto ila baadae ukapewa nafasi kwenye King Dae Jo Young na ukafanya vizuri zaidi. Kwahiyo hapa hatuangalii kwamba wahusika wa King Gwangaetto ndio wale wale walio kwenye Drama ya King Dae Jo Young.
Binafsi nimeitizama King Gwangaetto mwanzo mpaka mwisho ilinichukua mwezi mmoja kuimaliza, Drama ni nzuri sana lakini King Dae Jo Young Hahahahaaa huo ni moto mwingine aisee.
Mkuu umekwisha tizama Drama ya Admiral Yi Soon Shin?
MGC
King Gwanggaetto ni kali sana, japo binafsi sikuimaliza nina mpango wa kuisaka niione yote tena.Dae Jo Young naujua moto wake vizuri ila King Gwanggaetto the Great ni ya Kibabe zaidi.
Yi soon shin sijaiona ngoja niifanyie utaratibu
Dah mie kwanza naanza episode ya kwanza.Hii Last Empress inaonekana ni nzuri sana, nipo katika episode ya 5. Japo sipendelei kutazama drama ambazo hazijakamilika hii itanifanya nivunje huu mwiko hahahaah.
Wale wenye uhitaji wa Korean drama zenye high quality with english subtitle
HISTORICAL DRAMA (hizi ni kali panga mwanzo mwisho)
1.empress chunchu
2.jumong
3.kingdom of wind
4.dae Jo young
5.gwangaeto
6.emperor of the sea
7.chuno
8.emperor wanggun
9.king guen chogo
10.princess jamyung go
11.great kings dream
12.tree with deep roots
13.six flying dragons
14.yi San
15.dong yi
16.empress K
17.frozen flower
18.hwarang
19.great queen sendeok
20.gye baek
21.daemang
22.Kim soo ro
23.master's sun
24.shine or go crazy
25.jackpot
.
.
.
.
Na nyingine nyingi[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Drama episodes 30 kwa shilling elfu 5
(Punguzo babkubwa)
Au unaweza ukaweka order kwa series yoyote ile napatikana dar
Pia za town zinapatikana mpya na za zamani
PM kupo wazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama ulipata share na mm aseeNaomba link ya prison break kama unayo mzee baba[emoji120]
Kuchukua actor wengi walio shiriki katika Drama ya King Gwangaetto sio tatizo. Hapa tunaongelea ubora wa wa drama husika. Unaweza fanya vibaya kwenye King Gwangaetto ila baadae ukapewa nafasi kwenye King Dae Jo Young na ukafanya vizuri zaidi. Kwahiyo hapa hatuangalii kwamba wahusika wa King Gwangaetto ndio wale wale walio kwenye Drama ya King Dae Jo Young.
Binafsi nimeitizama King Gwangaetto mwanzo mpaka mwisho ilinichukua mwezi mmoja kuimaliza, Drama ni nzuri sana lakini King Dae Jo Young Hahahahaaa huo ni moto mwingine aisee.
Mkuu umekwisha tizama Drama ya Admiral Yi Soon Shin?
MGC
Kwangu Historical drama za kibabe ambazo nimekwisha shuhudia ni: Grade A 6Huyu nimekwisha kumuona kwenye Jing Birock sasa najiuliza hiyo drama yake itakuwa na jipya kweli?
Of course niliwahi kuisoma kiasi inaelezea maisha yake yote tokea kuzaliwa ila nimekosa hamasa kabisa ya kuiangalia.
Vipi ikoje Mkuu? Naona ina ep 104!
Hatari sana
Kama hutojali nipe list ya drama za kibabe za historical ukiachana na
Jumong
Dae Jo Young (Niliangalia hadi episode ya 30/40 hivi mwaka 2013 nikaiacha)
King Gwaengtogo
Chunno
Napenda drama za kibabe zenye kutumia akili nyingi, thanks.
Sent from my iPhone using JamiiForums
NitaitafutaHii kitu ni nomaaa!!!
Beautiful ones are not yet born
Kwangu Historical drama za kibabe ambazo nimekwisha shuhudia ni: Grade A 6
King Gwanggaetto the Great Conqueror
Empress Chunchu( Princess Iron)
King Dae Jo Young
King Geuchoggo
Jumong
Kings dream Chunchu
Grade B 6
Bridal Mask
the Grear Queen Seon Doek
Six flying dragon
Chuno
The return of Il jimae
Tamthilia zangu 6 bora ambazo nimeshakuziona
Dong Yi
King Gwanggaetto
Jumong
the Great Queen Seon deok
Bridal Mask
Kim soo ro
Katika Peninsula ile Hakuna mwanaume aliyekuwa anatisha zaidi ya Dam doek 담 ㄷ억(King Gwanggaetto the Great)
Hii kitu ni nomaaa!!!
Beautiful ones are not yet born
Hizo nilizozibold zote nimeziona Chief, na kweli ni moto kwelikweli.
Drama ambazo zilinipa uchizi hapo sikuwa natamani kula wala kulala ni Jumong, Dong Yi na Queen Seondeok.
Hiyo King Gwanggaetto nitaipataje
wajameni? Kwenye site yangu pendwa KissAsian hakuna!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asian Drama, Movies and Shows English Sub Full HD | Dramacool Ni tamthilia Inayomuelezea mfalme wa 19 Gogryeo Dam Doek the North Ghost, Kifupi Wafalme waliotawala era moja na yeye walitaabika. Ni wafalme wa 2 ktk historia ya Korea waliopewa heshima ya Great King 1ni Sejong the Great mfalme wa 4 wa Joseon kikubwa alichofanya Uvumbuzi wa Korean Alphabet. na King Gwanggaetto the Great mfalme wa 19 Gogryeo yeye alifanya mengi sana kubwa ni Kuifanya Gogryeo strongest na iliogopeka sana katika utawala wake.Hizo nilizozibold zote nimeziona Chief, na kweli ni moto kwelikweli.
Drama ambazo zilinipa uchizi hapo sikuwa natamani kula wala kulala ni Jumong, Dong Yi na Queen Seondeok.
Hiyo King Gwanggaetto nitaipataje wajameni? Kwenye site yangu pendwa KissAsian hakuna!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asian Drama, Movies and Shows English Sub Full HD | Dramacool Ni tamthilia Inayomuelezea mfalme wa 19 Gogryeo Dam Doek the North Ghost, Kifupi Wafalme waliotawala era moja na yeye walitaabika. Ni wafalme wa 2 ktk historia ya Korea waliopewa heshima ya Great King 1ni Sejong the Great mfalme wa 4 wa Joseon kikubwa alichofanya Uvumbuzi wa Korean Alphabet. na King Gwanggaetto the Great mfalme wa 19 Gogryeo yeye alifanya mengi sana kubwa ni Kuifanya Gogryeo strongest na iliogopeka sana katika utawala wake.
Baada ya kifo cha Jumong Gogryeo ilipoteza ushupavu wake hasa kwa Bakje ambayo ilianzishwa na Sosono. Bakje ilijipatia heshima nyingi sana na ilikiwa strongest kwenye peninsula hasa ktk utawala waKing Geuchoggo, huku Gogryeo wakizidi kuonyong'onyea walipigwa sana.Sasa Gwanggaetto(Dam doem) the Great alipochukua nchi aliifanya Gogryeo kuwa Strongest kuliko hata ile ya King Dongmyeong(Jumong). Gwanggaetto ndiye First Emperor wa Gogryeo na 19th King wa Gogryeo. Walikuwa Emperor sababu Nchi kama Bakje,Hoyan,Kitan,Mohe,Beiwei,Shilla,Manchuria na Baadhi ya Visiwa vya Japani ilikuwa sehemu ya Gogryeo. Ramani ya Gogryeo wakati wa utawala wa Gwanggaetto(Dam Doek)ilikuwa inafika S.Korea,N.Korea,China,Mongolia na Urusi.Wananchi wa wake walimpa Jina la Tae wang yaani Mfalme wa wafalme.Link iko hapo juu ya Drama coolKwanini Jumong hakupewa heshima hiyo? Pamoja na kazi nzito aliyoifanya as Gogreyo founder, alifeli wapi?
Mimi mpaka leo sijaona drama/series kali kama ya Jumong. Natamani kumuona tena my forever Oppa Song Il Gook akicheza series ya kibabe kama hiyo.
Hapa tu nimefikiria hivi najipanga niiangalie tena kwa mara nyingine maana nahisi kuna vitu vingi nimeshasahau.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Alijiita General Mzimu toka KaskaziniKwanini Jumong hakupewa heshima hiyo? Pamoja na kazi nzito aliyoifanya as Gogreyo founder, alifeli wapi?
Mimi mpaka leo sijaona drama/series kali kama ya Jumong. Natamani kumuona tena my forever Oppa Song Il Gook akicheza series ya kibabe kama hiyo.
Hapa tu nimefikiria hivi najipanga niiangalie tena kwa mara nyingine maana nahisi kuna vitu vingi nimeshasahau.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Baada ya kifo cha Jumong Gogryeo ilipoteza ushupavu wake hasa kwa Bakje ambayo ilianzishwa na Sosono. Bakje ilijipatia heshima nyingi sana na ilikiwa strongest kwenye peninsula hasa ktk utawala waKing Geuchoggo, huku Gogryeo wakizidi kuonyong'onyea walipigwa sana.Sasa Gwanggaetto(Dam doem) the Great alipochukua nchi aliifanya Gogryeo kuwa Strongest kuliko hata ile ya King Dongmyeong(Jumong). Gwanggaetto ndiye First Emperor wa Gogryeo na 19th King wa Gogryeo. Walikuwa Emperor sababu Nchi kama Bakje,Hoyan,Kitan,Mohe,Beiwei,Shilla,Manchuria na Baadhi ya Visiwa vya Japani ilikuwa sehemu ya Gogryeo. Ramani ya Gogryeo wakati wa utawala wa Gwanggaetto(Dam Doek)ilikuwa inafika S.Korea,N.Korea,China,Mongolia na Urusi.Wananchi wa wake walimpa Jina la Tae wang yaani Mfalme wa wafalme.Link iko hapo juu ya Drama cool