Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

But ukisoma synopsis yake kule Dramacool, wanakuambia ni 50 episode drama. Ila wameweka 51 na hiyo ya 51 ndo inaudhi sana. Ukikomea ya 50, mambo shwari.
Jang Bogo ana mtoto, business inaenda na king yupo kijana kabisa
Bora wangemaliza 50 episode wameboa sana ht kwny youtube kwny comment za episode ya mwsho watu wengi wameonyeshwa kutofurahishwa na wengine wametukana
 
It was a bad ending. No one likes or will like to watch a drama with bad ending where heroes die and villains live.
 
Nisome historia zao zote hizo nigundue nini wakati hata ya mtemi mirambo siijui
 
Noted
 
Koreans Choose Their Top 10 Favorite TV Shows For January
kuna watu wataanza kununa muda si mrefu na kurusha vidole angani utadhani wanacheza taarabu za gwiji marehemu omary kopa,

turudi kwenye stori : kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Gallup Korea wananchi wengi wameitaja sky castle kama ni show inayowavutia zaidi kuifuatilia kwa mwezi huu. kwa mujibu wa Gallup Korea wanadai ya kwamba sky castle pia imevunja rekodi iliokuwa ikishikiliwa na goblin ya kuwa ni show iliopata kura nyingi tokea waanze shughuli ya kufanya utafiti.
  1. “SKY Castle”
  2. “My Only One”
  3. “I Live Alone”
  4. “I Am a Natural Person”
  5. “My Ugly Duckling”
  6. “War of Words”
  7. “Memories of the Alhambra,
kwa nini uteseke wakati dollari bado ipo stable kwa kufanya manunuzi nje ya nchi?
 
Mie sijazisoma habari za hao watu. Nina tabia ya kuangalia series kwanza halafu ndiyo nikiipenda nitasoma life history ya heroes wa kwenye hiyo drama. Vinginevyo napotezea tu.
This has happened with Land of the Wind. Wakati namsoma Daemushin (Muhyul) grandson wa Jumong ndo nikajua na story ya 'Prince Hodong and Princess Nakrang' ikanipelekea hata kuitazama Ja Myung Go.

Ja Myung Go inaisha ikionyesha fall of Nakrang na ndio ukweli wenyewe. Princess upovu wa penzi kwa Prince ulimpelekea kuliangusha taifa lake.

Anyway, thanks for the info. I never thought of checking out their real life history.

Sent from The Black Forest
 
Hizi series za mjini ili inivutie lzm ina action za kutosha kama A Man God,City hunter, K2,Ghost argent,Plan B n.k, lkn historical drama kama story yake ni nzuri hata bila ngumi naweza kuitazama mfano sasa naifuatilia Jewel in Palace
 
Hizi series za mjini ili inivutie lzm ina action za kutosha kama A Man God,City hunter, K2,Ghost argent,Plan B n.k, lkn historical drama kama story yake ni nzuri hata bila ngumi naweza kuitazama mfano sasa naifuatilia Jewel in Palace
Ninachofuata kwenye Korean drama ni historical drama tu...
Mambo mengine yote ninaweza kuyapata kutoka katika drama za Kizungu..!
 
Sky castle ilinitia uvvu kuangalia. Nimeishia episode ya pili
 
Sky castle ilinitia uvvu kuangalia. Nimeishia episode ya pili
Nami nilikua hivi maana nliona waigizaji wengi kweli alafu nliona inaenda haraka haraka kiasi nasahau matukio, lakini nikwambie Ni a must watch in mafunzo mengi Sana kuliko Korean drama nyingi, na ipo world wide kimafunzo maana kila familia yenye uwezo in struggle ivo. Nzuri Ma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitajaribu tena nione
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…