Koreans Choose Their Top 10 Favorite TV Shows For January
kuna watu wataanza kununa muda si mrefu na kurusha vidole angani utadhani wanacheza taarabu za gwiji marehemu
omary kopa,
turudi kwenye stori : kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Gallup Korea wananchi wengi wameitaja
sky castle kama ni show inayowavutia zaidi kuifuatilia kwa mwezi huu. kwa mujibu wa Gallup Korea wanadai ya kwamba sky castle pia imevunja rekodi iliokuwa ikishikiliwa na goblin ya kuwa ni show iliopata kura nyingi tokea waanze shughuli ya kufanya utafiti.
- “SKY Castle”
- “My Only One”
- “I Live Alone”
- “I Am a Natural Person”
- “My Ugly Duckling”
- “War of Words”
- “Memories of the Alhambra,
kwa nini uteseke wakati dollari bado ipo stable kwa kufanya manunuzi nje ya nchi?