Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Natumia IDM na huwa naplay kama ulivyonielekeza tatizo nyingi huwa nyingi naambiwa not available in ur region! Kwa hiyo hata icon ya play unakuta haitokei!
Tatizo ni kwamba browser imefanya automatic update halafu IDM haukuupadate hivyo IDM inakuwa haifanyi kutokea ile icon
Solutions.
1. Unaweza download player moja inaitwa eagleget downloaded inafanya kazi kama IDM ila si kiivyo Sana japo hii ni free na unaweza Ku update Mara kwa Mara.
2. Download latest version ya IDM kabla haujainstall hakikisha umeitoa kwanza ile ya zamani, halafu usisahau kufanya uchakachuzi, ikigoma fuata njia ifuatayo
3. Kama unapenda IDM itoe hiyo browser unayotumia pamoja na IDM, halafu weka lower version ya hiyo browser halafu re install IDM ile uliyokuwa na kufuata zile procedure za kucrack, basi baada ya hapo itaendelea kufanya kazi kama kawaida.
 
habari naomba nifufue thread hii nahitaj drama zenye spy fiction nizitafute napendelea sana hzo za mkono kuliko love story.. nimeona iris cruel city
 
habari naomba nifufue thread hii nahitaj drama zenye spy fiction nizitafute napendelea sana hzo za mkono kuliko love story.. nimeona iris cruel city
Endelea na Iris 2, Hidden identity, Athena...
 
i think naweza pata utatuzi kutoka kwako hapo gooddrama.com nawezaje kudownload aiseee...???
 
i think naweza pata utatuzi kutoka kwako hapo gooddrama.com nawezaje kudownload aiseee...???
Unaweza kudownload kwa kutumia Internet download Manager (IDM) au eagleget downloaded, pitia huu Uzi IDM ipo humu.
 
My beautiful bride.
The village.
Last.
Spy.

Ebwana hizo mie ndiyo nazotaka kuziangalia,nani kaona japo moja hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…